Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

Sele Mkonje

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
641
1,000
Leo wakati nataka kuchek Quarantine ya Diamond nikajikuta nashuhudia maajabu na rekodi mpya ambayo Diamond Platnumz ameivunja.

Tukio lake la kuweka rekodi hiyo limetokea dakika chache zilizopita. Diamond anafuatiwa na Millard ayo ambaye kwa sasa ana viewers M933 na huku King wa bongo Fuleva ana Viewers M112

PicsArt_06-10-12.09.22.png
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
2,108
2,000
Tunaambiwa ya kua kijana Diamond Platnumz kwa sasa ana 1 Billion youtube views, wale watalaam wa mitandao na views katika Youtube hiyo ni sawa na bei gani?
Hiyo ni pesa ndefu lakini siyo kwamba ameipata kwa wakati mmoja, ni kwamba kaipata throughout toka ameanzisha channel yake na post zote alizokuwa akipost video zote ukicombine ndiyo unapata hiyo billion views.
 
BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,156
2,000
Hiyo ni pesa ndefu lakini siyo kwamba ameipata kwa wakati mmoja, ni kwamba kaipata throughout toka ameanzisha channel yake na post zote alizokuwa akipost video zote ukicombine ndiyo unapata hiyo billion views.
ndio, ametazamwa mara bilioni, ndio nataka kujua ni pesa ngapi hizo, na mfano kama hajawahi ku claim hizo pesa alikua anaziacha tu ziwe nyingi
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
2,108
2,000
ndio, ametazamwa mara bilioni, ndio nataka kujua ni pesa ngapi hizo, na mfano kama hajawahi ku claim hizo pesa alikua anaziacha tu ziwe nyingi
Ni ngumu sana kujua mkuu maana pia Youtube wanalipa kutokana na location ya watazamaji ina matter. Aliyetazama video na tangazo akiwa US yani watazamaji tokea US wanakupa mapato zaidi kuliko wa TZ.
Lakini roughly inaweza fika zaidi ya dollar 2,000,0000
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom