Nandy ft Harmonize

Nandy ft Harmonize

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
3,869
Reaction score
12,104


The African princess ni moja ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri kwa sasa ndani na nje ya nchi, enjoy muziki mzuri.
 
Kichupa kipo poa saana Nandý ka mwili potabo anakitendea haki kiuno Harmonise nae kafanya vzr
 
Ngoja niweke kambi hapa maana nikifungua utube tu bando linaisha
 
Huyu nandy nae anakomaa sana. Mm napenda mtu mpambanaji na mtafutaji. Sio msanii kutwa kulalamika Clouds imeninyonya sana. Harmonize mdogo wangu toa nyimbo kweli kweli hadi kieleweke. Usiruhusu mwezi uishe bila kuachia ngoma kali. Kupambana ufikie level za mondi sio lelemama, kimbizana nae huyo jamaa ipo siku watakubali mashabiki.
 
Muziki hauvutii, umepoa na hakuna ubunifu na halafu kuna matusi ndani yake. Hovyooo!!!!
 
Mizik ya skuhz huwez kuiskiliza ukiwa na
Ndugu kabsa
 


The African princess ni moja ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri kwa sasa ndani na nje ya nchi, enjoy muziki mzuri.

Ngoma nzuri ila harmonize apunguze uandishi wa matusi anaimba matusi sana yani kuusikiliza na watu unaoheshimiana nao aibu
 
Huyu mmakonde wa chitoholi aache ushamba wa kukaa kifua wazi kila Nyimbo, hata kama ni masharti ya Mganga this is too much.
 
Kulazimisha mambo matokeo yake ndiyo haya..
 
Inaonekana Nandy anapenda ngono kupita kiasi.
Tena navyoona anapenda zile za ma porn star.Ndiyo maana nyimbo zake ansonekana kufurahia sana kila anapoimba matusi
 
Back
Top Bottom