Ni ukweli usiopingika kuwa kijana Naseeb Abdul ana historia ambayo vijana wengi wanaichukulia kama motivation katika juhudi zao wanazofanya kila siku....Kutoka kuwa muuza mitumba ambaye baadhi ya...
Ni Kwamba Muda Si Mfupi Mtangazaji Wa Zamani Wa Clouds FM Gadner G. Habash Ambaye Baadae Hadi Hivi Sasa Alikuwa Akitangaza Kituo Cha Redio Cha E FM Ametoka Kumalizana Na Uongozi Wa Clouds Media...
Ommy diompoz amewataka vijana wa kiume na wakike tutafuta pesa alafu ndo utajua muonekano wako halisi, amejitolea mfano yeye mwenyewe kwa kutupia picha hii
Mwisho Mwampamba kulia akiwa na mdogo wake walieshare baba, Robert Mwampamba (kushoto). Hapo walikuwa mahakamani juzi mjini Morogoro ambapo Mwisho kashitakiwa na mdogo wake kwa kumtukana matusi ya...
Katika muda ambao kila mmoja alikuwa amejaribu kuamini kuwa Diamond Platnumz ameamua kutulia na mpenzi mmoja, mtangazaji wa DTV, Penniel Mungilwa, hivi karibuni staa huyo ameanzisha uhusiano wa...
Jaman Kuna Post Nilileta Hapa Kuhusu Huyu Homeboy Belle 9 Kutojenga Nyumba Ya Wazazi Wake!!! Kiukwel Post Imesaidia Naona Kaleta Mchanga Tayari Na Tofali Na Kaanza Kujenga! Thanx Jf Now Nimegundua...
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" ameamua kutii kiu ya mashabiki wake wa mziki wa "kufokafoka" kwa kutoka na Wimbo mpya wa "Freedom".Wimbo huo wenye mahadhi ya hip hop umerekodiwa na...
Huyu jamaa ni full majungu na ni fisadi kiaina.
Kada wa CCM. Mtumishi wa Benki Kuu. Amevuruga kampuni waliyoanzisha watu wanne kiasi kwamba sasa ina hali mbaya. Wahindi wameipiga bao. Kupewa...
(Can you try to guess the name of our Reality Show?)
(Muda si mwingi kipindi cha Maisha yangu ya kila siku,Familia na Team yangu nzima itaanza kuwa kwa TV yako pendwa...nakuahidi sio tu eti...
Habari wakuu.
Dah nimeona hizi picha za ray c zimenisikitisha sana hivi hii kitu ina nini mbona inakuwa ngumu kuacha ...daaah maskini Ray C[emoji26] [emoji26]
Roma Mkatoliki,msanii maarufu wa hiphop Tanzania hatimaye ameamua kufunga ndoa rasmi na mpenzi wake wa longtime ambaye wana mtoto pamoja (Ivan) April 9 2016. Ndoa hio imefungwa nyumbani Tanga na...
Nguli la mitandao ya kijamii Afrika na balozi wa salama kondom Tanzania ametua jijini Nairobi.
Baada ya kufika tu Nairobi ameshangazwa sana na tabia ya wakenya ya kumshobokea huku wengine...
Hivi ni kweli kabisa DJ Majey ndiye boss wa E. fm au? Yani jamaa kutoka kwenye u DJ hadi kuwa mkurungenzi wa kituo kinachokuja kwa kasi ya kimbunga pia kufanya usajili wa kutisha hongera broo sana.
Kwa niaba ya wanaume wenzangu wa Dar, naandika kwa huzuni na masononeko hii habari yako kaka Nasibu. Nikiwa ni moja wa shabiki zako toka enzi zile za Kamwambie, nimekuwa si mtu wa kuingia wala...
Nimesikia sasa ile nafasi ya ya Sebastian Maganga, Meneja vipindi wa Clouds Fm Ruge amempa muhaya mwenzake Shaffih Dauda.
Ina maana Sebastian Maganga wamemtimua ama ni vipi?
‘Hii ni imani ambayo nimeifikiria muda mrefu na nikajua lazima niifate, kila mtu ana kitu ambacho anakiamini na kwangu naamini moto ndio kila kitu kwenye maisha, kama maandiko yanavyosema Mungu ni...
Inasemekana Diamond amevunja ndoa ya Baba Qayllah na Mama Qayllah baada ya Diamond kuwa na uhusiano wa siri na huyo mwanamke.
Baada ya Shetta kujua hili alipatwa na hasira, inasemekana alitaka...
KUTOKANA NA KUFATILIA HIP HOP KWANGU KWA MZIKI WA MAHADHI HAYO NCHINI TANZANIA KWA MUDA WOTE NALETA MARAPPER NA WAANDISHI BORA KWA MUDA WOTE :
1. JAY MOE
2. FID Q
3. PR. JAY
4. SUGU
5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.