vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,599
Ni ukweli usiopingika kuwa kijana Naseeb Abdul ana historia ambayo vijana wengi wanaichukulia kama motivation katika juhudi zao wanazofanya kila siku....Kutoka kuwa muuza mitumba ambaye baadhi ya wadada wangekataa hata kumpa mkono mpaka mtu ambaye wadada haohao wanatamani wapate nafasi ya kumshika hata nguo tu....Ni jambo ambalo ni very very motivating na inspirational kwa vijana wengi.....
Diamond platnumz kwa sasa ana mashabiki wengi Afrika nzima na sehemu mbalimbali duniani...Jambo analofanya kwa kiasi kikubwa linafika sehemu kubwa ya dunia...No wonder makampuni yapo tayari kutoa kiasi kikubwa cha pesa kwa ajili ya matangazo....
Sasa imefika wakati wa kijana huyu kuingiza pesa nyingine kwa kutoa movie itakayoelezea milima na mabonde aliyokutana nayo mpaka kufikia hapo alipo....Ikaelezea uhalisia wa kila kikwazo alichokutana nacho...Na mademu wote aliowachapa....Na uhalisia utazidi kama atawatumia wahusika...Aliweza kwa Wolper atashindwaje kumpata Wema bwana...Apandishe dau tu mtoto wa watu apate hela ya kukombolea range yake then everybody will have a happy ending....
Almost Africa nzima inajua historia yake...Na kwa kiasi kikubwa historia yake pia imechangia kuongeza mashabiki...Wengi wameipata historia yake kwa kuisikiasikia na kusoma magazeti haswa ya udaku....Vipi wakimuona Diamond Platnumz mwenyewe akiitell historia yake kuitia movie...Sina shaka na uigizaji wa Bi Sandra.....
Nadhani hii kitu itamfanya apige pesa ndefu sana kama atatumia watu wazuri kucontrol soko lake...Lakini pia huenda ikafungua mlango mwingine wa uigizaji kwa kijana huyu...Majuu huko si tunawaona bana...Wakali almost wote wa music wapo pia hollywood...Na wanakimbiza tu...
Hii ni fursa nyingine ya kutengeneza hela na kutengeneza chanzo kingine cha pesa...Najua itanunuliwa sana tu...Bado waafrika wengi tu wana ujinga wa kununua CD/DVD za movies...Wengi sana...Hawa wanatosha kurudisha pesa ya production na faida juu...Sisi wachache tutatulia tukiisubiri torrent iteme.....Maana movie hii haitakuwa bongo movie....Who knows whats gon happen to the movie industry ya Tanzania...I hope its gon open door for lots of good things.....
Ni ushauri tu..
Nawasilisha