Ray C wa sasa hadi huruma

decent girl

JF-Expert Member
Aug 11, 2015
302
139
Habari wakuu.
Dah nimeona hizi picha za ray c zimenisikitisha sana hivi hii kitu ina nini mbona inakuwa ngumu kuacha ...daaah maskini Ray C
675a9b1cc827ca3d503208cc080be471.jpg
ac6a94cc32126a256890ac6a23fbedd7.jpg
f9e6bfeda18dd45ceb9acc81fe164d1c.jpg
 
Mwenyewe alishasema hizo picha ni za zamani sio sasa
Hasemi kweli, anahudhuria tiba M-nyamala then anasogea pale A kula chakula cha Nyoka na masela! Katiza M-nyamala A kati ya saa 4-6, weekdays hutamkosa na mateja wenzie wanapona!
 
HIZO PICHA ISIJE KUWA ZA ZAMANI
ANYWAY JUMANNE NILIMWONA RAY C PALE MAKUMB7SHO INAVOONESHA BADO ANA HITAJI MUDA ZAIDI KUACHA KABISA MIENENDO YAKE MIBAYA
Mm huwa namkubali sana mange kimambi huwa hakurupuki katika kutoa taarifa au ushauri
 
Habari wakuu.
Dah nimeona hizi picha za ray c zimenisikitisha sana hivi hii kitu ina nini mbona inakuwa ngumu kuacha ...daaah maskini Ray C
675a9b1cc827ca3d503208cc080be471.jpg
ac6a94cc32126a256890ac6a23fbedd7.jpg
f9e6bfeda18dd45ceb9acc81fe164d1c.jpg
Maisha yasio jali maadili, matumizi mabaya ya pesa na kumsahau Mungu kunawa angamiza sana vijana. haya tunayaona kwa ray c na wanamuziki wengine lakini je unajuwa wanakuja wengi nyuma yake wenye hali mbaya kama hii?
Ndugu mtanzania simama kuwaambia wasanii pesa walio nayo leo kesho hawana nijuku lao kuiona kesho kuliko leo.mtu kama diamond ukimwambia ipo siku atakuwa hana kitu atakutukana mpaka asubuhi lakini at the same time anakula ujana na mke wa milionea wa Uganda nje ya nchi wakati mwenzake ana save yeye anatumia zikiisha kila mtu achukue 100 zake. HUU NI ZAIDI YA UCHIZI NAKAMA NIKULOGWA BASI ALIO WALOGHA WANAMUZIKI WETU AMEKWISHA KUFA HIVYO TUSUBIRIE MAJANGA
 
Maisha yasio jail maadili, matumizi mabaya ya pesa na kumsahau Mungu kunawa waangamiza sana vijana. haya tunayaona kwa ay c na wanamuziki wengine lakini je unajuwa wanakuja wengi nyuma yake wenye hali mbaya kamahi?
Ndugu mtanzania simama kuwaambia wasanii pesa walio nayo leo kesho hawana nijuku lao kuiona kesho kuliko leo.mtu kama diamond ukimwambia ipo siku atakuwa hana kitu atakutukana mpaka asubuhi lakini at the same time anakula ujana na mke wa milionea wa Uganda. HUU NI ZAIDI YA UCHIZI NAKAMA NIKULOGWA BASI ALIO WALOGHA WANAMUZIKI WETU AMEKWISHA KUFA HIVYO TUSUBIRIE MAJANGA
Well said mkuu
 
Hasemi kweli, anahudhuria tiba M-nyamala then anasogea pale A kula chakula cha Nyoka na masela! Katiza M-nyamala A kati ya saa 4-6, weekdays hutamkosa na mateja wenzie wanapona!
Hiyo njia unapita hiyo mida kwa ajili ya kumuangalia ray c au inatokea tu maana mpaka maswala ya hospital unayafahamu. Wanaume wa dar kwenye ishu za umbea mpewe tuzo kwakweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom