Tetesi: Diamond avunja ndoa ya Shetta na mkewe

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
Inasemekana Diamond amevunja ndoa ya Baba Qayllah na Mama Qayllah baada ya Diamond kuwa na uhusiano wa siri na huyo mwanamke.

Baada ya Shetta kujua hili alipatwa na hasira, inasemekana alitaka kufuta picha zote alizoweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram lakini akajistukia watu watauliza kulikoni. Alichofanya ni kufuta picha zake zote kwenye akaunti yake ya Instagram na kuanza upya kupost.

Kwa wale wambea na wanaume wa Dar unaweza kucheki kwenye akaunti ya Shetta na kushuhudia video moja ya Shetta. Pia mama Qayllah kwenye profile ameweka picha ya Diamond na Qayllah.

Hayo ndio yaliyojiri kwenye ''You Heard''
 
Yule bint ni mrembo mno namjua sijui hata nimfananishe na nani urembo wake na naijua familia yake . Walipinga sana kuolewa na sheta bint wawatu akaacha chuo ifm mapenzi yalimkolea akaaribu career yake.
Malizia hadithi yako.
 
mapungufu yake kwenye ndoa yake asimsingize dangote,ajiulize kakosea wapi na nn kifanyike ili kumrudisha mke,mambo ya kutalikiana ni jau
 
Back
Top Bottom