mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 641
Jaman Kuna Post Nilileta Hapa Kuhusu Huyu Homeboy Belle 9 Kutojenga Nyumba Ya Wazazi Wake!!! Kiukwel Post Imesaidia Naona Kaleta Mchanga Tayari Na Tofali Na Kaanza Kujenga! Thanx Jf Now Nimegundua Kuwa Humu Hata Celebrity Wapo!! Hata Uncle Magu Yupo Humu! Belle 9 Hongera Kwa Kuelewa Umuhimu Wa Wazaz Na Maneno Yalikuchoma! Sasa Mshauri Mdogo Wako Samir Kinyulinyuli! Akajenge Kwao La Sivyo Nae Tutamuanika. Thanx Jf