DJ Majay: Kutoka kwenye DJ hadi kumiliki station ya radio

Kaka siyo kazi rahisi, jaribu wewe u need to be a MAN to accomplish dat
 
Unashangaa yeye kutoka udj hadi kumiliki radio,mbona hushangai Mbowe kutoka udj hadi kumiliki Chadema?
Hahahahah! Humu JF watu wanathink big ase.. Hata kama ulikula gundi itaachia tu, duh
 
Unashangaa yeye kutoka udj hadi kumiliki radio,mbona hushangai Mbowe kutoka udj hadi kumiliki Chadema?
Mbowe amewahi kuwa Dj wapi ina maana kumiliki ukumbi wa disco unakuwa Dj tumia hicho kichwa chako kuwaza kijana.
 
Back
Top Bottom