Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Nyie mapedeshee nyie sijui mnaojiita pembe la ng'ombe, mara papaa nini sijui mnajua wenyewe na mabalaa yenu uko, maana kwa kupenda sifa za kijinga hamjambo , majina yote yenu apa mjini...
2 Reactions
191 Replies
38K Views
Asalam alaykum wanajamvi... Mimi ni mpenzi wa nyimbo za kuchana au kupasuka kama wengi wasemavyo, kinachonifanya nisipende nyimbo za wabana pua sababu kubwa ni 1) Kuigana 2) Point kuu Mapenzi 3)...
5 Reactions
51 Replies
9K Views
Ni kawaida saana kwenye kipindi chache akiwauliza wasanii au watu maarufu maswali haya; Utaona lini? mbona huna mtoto? Na akijibiwa kinyumee anashangaa as if yeye ametimiza hivyo na umri una...
2 Reactions
148 Replies
35K Views
Nyota wa My Number One Diamond Platinum amekamilisha kibao chake kipya akimshirikisha mzee mzima Chris Brown, wimbo huo unatarajiwa kutoka wakati wowote kuanzia sasa. Stay tuned.
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Eti kizuri kikikosekana ata kile kibaya huonekana kizuri.....lilikuwa dongo kwa nani na je n kweli baada ya kizuri kurudi kibaya kimepoteza thaman yake ..???
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna tetesi kwamba mangwiji wa power breakfast masoud na mwenzake wamerejea ilhal PJ na mwenzake out!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hellow guys!!!... Leo nataka nimzungumzie huyu mdada anayekwenda kwa Jila la Wema Isack Sepetu! Ukweli ni kuwa huyu dada ni wa kipekee sana hapa Tanzania. In short ni kuwa hakuna kama yeye.Kabla...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Kiukweli nimemkumbuka sana huyu PDG nguli pale Dar, katika watafuna bata huyu bwana alikua mwenyekiti wao toka kitambo saaaana kina Msofe na Katunzi walimkuta huyu kiongozi labda ndio anaishia...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
yule mama wa ma drama na ma fake news yuko ndani ya skendo mpya baada ya lile Range rover alilojizawadia kwenye b day yake kukamatwa na tRA na liko yadi likipigwa mnada kwa sh milioni 200. Kosa ni...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Nimekutana na hawa jamaa wanaongea 91.3 Hivi Jokate ametemwa au? Msemaji wao anakimbia maswali. Kuna mabinti ni wajumbe wa hii Miss Tanzania mpya, ila kama wamepigwa pini, kuna vitu vya muhimu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa takribani siku 3 sasa kumekuwa na sintofahamu na kwa baadhi ya ndugu na marafiki imezua taharuki kuhusu ajira yangu na clouds fm.. Naamiini sasa kwa upande wangu ni wakati muafaka kutoa tamko...
6 Reactions
49 Replies
10K Views
Ile habari ya msanii shetta kulala chumba kimoja na rose ndauka uko morogoro imevunja Ndoa na mke ameondoka rasmi na amekataa zawadi ya gari.. ======== Ndoa ya Shetta imevunjika…. Mke...
0 Reactions
90 Replies
30K Views
Nataka details za huyu Rapper, napenda anavyorap kama hana njaa, mikogo mingi, n. k, hivyo kama kuna mdau ana details zake anijuze tafadhali
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ametaka kupewa maelezo maalum ya kimaandishi juu ya mwenendo wa mwimbaji wa nyimbo za Injili, Rose Muhando ili aweze kuchunguza madai ya...
0 Reactions
47 Replies
10K Views
Ni muda ss nimekuwa nikiwasikia hawa mtu na boss wake wakitangaza ktk kituo cha clouds fm. Je walisomea utangazaji au ni vipaji vyao tu, na ilikuwaje mpk wakaanza kutangaza hapo?
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Meneja wa Diamond akishirikiana na Kalapina wamempeleka Chid Benz Life and Hope Rehabilitation Organization iliyopo Bagamoyo kwa ajili ya kusaidiwa kuacha marumizi ya dawa za kulevya hatua hiyo...
10 Reactions
83 Replies
14K Views
Habari wanaJF na wadau wa Hip Hop na muziki kwa ujumla. Ni muda sasa nimekuwa mfuatiliaji wa muziki wa kizazi kipya hususani mwahip hop Fareed Kubanda. Jamaa ni mwanafasihi aliyetukuka hapa...
1 Reactions
26 Replies
8K Views
Wadau japo leo ni siku ya wajinga.kuna tetesi kuwa Ruge ametimuliwa clouds.mwenye habari zaidi atujuze
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Nduguz me naomba kuuliza then nijue juu la hili swala kwamba kati ya Trace Tv na Mtv base ipi ni stronger than the other , and most influencial ktk kumfanya msanii kuwa famous kwa haraka pale...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’. Abdul Juma. Erick Evarist na Gladness Mallya SIKU chache baada ya kuibuka kwa baba aliyemlea Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ aitwaye Abdul Juma na kudai kuwa...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Back
Top Bottom