Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Msanii wa Bongo Fleva Ali Salehe Kiba, maarufu kama Alikiba, amesema kuwa kila mtu ana haki ya kueleza kile anachojisikia, na ni jambo jema watu kutoa yaliyo moyoni mwao. Alikiba ameeleza kuwa...
4 Reactions
4 Replies
540 Views
Ommy Dimpoz amewaomba msamaha kwa wale waliona wamedhihakiwa kwa kauli waliyoitoa kuwa vijana wafanye kazi waache kulalamika. Huu msamaha ameuomba kirahisi sana Pia Soma: Fanyeni kazi, acheni...
3 Reactions
26 Replies
874 Views
"Jana usiku alisimamisha show yake kuwaambia watu waiombee Tanzania sababu ya mauaji yaliyotokea. Meanwhile wasanii wa Tanzania wanapambana kuirudisha nchi kwenye hali ya hali ya kawaida ili...
6 Reactions
9 Replies
604 Views
Kheri Konde ameelewa kwa namna yake kwamba muda huu si wakulaumiana tena, yote haya yanatokea ni kwasababu watanzania wanamaumivu yalitokea Oktoba 29. ================== Harmonize ameongea na...
9 Reactions
65 Replies
2K Views
Msanii wa maigizo Jimmy Mafufu amesema ushiriki wa wasanii katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu haukuwa kosa, akibainisha kuwa walitumia haki yao ya kikatiba, hivyo hawana sababu yoyote ya...
2 Reactions
24 Replies
687 Views
Yeye si ana vyombo vya habari na ana majukwaa ya kisasa, basi aendelee kupromoti mziki na wanamuziki wake. Hatuna muda wa kujadili mambo yake tena issue yake ikifika jioni tujihidi abaki anajadili...
3 Reactions
5 Replies
176 Views
Kipindi cha kampeni wasanii wote mlikuwa upande wa CCM mkaanza kutukana wananchi eti tunalalamika sana tufanye kazi. Baada ya uchafuzi wa 29 kuisha wameanza kutia huruma et nendeni youtube...
18 Reactions
19 Replies
724 Views
Wasanii wanapishana kufanya malipo kwa Carry mastory na Diva kuhakikisha wanapewa promo ya kuwalaghai wananchi wawapokee kwa mara nyingine. Kwa mtu mwenye akili timamu lazima ujiulize kwa nini...
2 Reactions
2 Replies
206 Views
Rapper Chid benz akifanya mahojiano katika kituo cha radio Kenya Radiomaisha.ke amefunguka moja ya changamoto anayopitia kwa sasa yeye kama msanii wa Bongo fleva baada ya uchaguzi. Mwana hip hop...
2 Reactions
17 Replies
890 Views
Wema aendeleza vita yake na Gen Z ambao wanataka kuandamana. Ameonekana leo kuwakejeli baada ya maandamano kushindwa kufanyika mpaka hivi sasa kutokana na ulinzi mkali uliowekwa ili kuilinda...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
hatutegemei show za Tanzania.Bila atashow sisi tutakula atakama ni miaka kumiKwasasa diamond anategemea sana biashara zake” Mama Dangote NENO Moja kwa mama Dangote
1 Reactions
69 Replies
4K Views
Jux ashusha ngoma zake mpya alizo ziachia hivi karibuni baada ya Gen z kuacha kusupport wasanii machawa je, asilimia kubwa ya mashabiki ni gen z ? Hii ni baada ya ngoma hizo kufanya vibaya...
7 Reactions
19 Replies
961 Views
Sio Juakali , Kombolela, Dunia, Big boss na tamthilia nyingine mnadhani wasanii mmeshaona nguvu ya wa wananchi Unafki umewaponza. Watu wengi walikuwa wanahitaji sana support yenu kama nyie...
16 Reactions
17 Replies
786 Views
Nishazoea mwezi Novemba utasikia huyu katangaza show Kidimbwi, mwengine katangaza show Warehouse sijui mwingine anaenda kwenye tour mikoani Sasa hivi ukipita akaunti za wasanii wako kimya...
17 Reactions
46 Replies
2K Views
Wakuu, Mpoto huyu alikuwa wa moto bwana, inspiration kwa wengi, hata ambao tunapenda kuandika tulikuwa tunapata madini ya kuongeza nondo kwenye articles, mashari, na analysis mbalimbali Mpoto...
3 Reactions
6 Replies
268 Views
Kupitia Insta Story yake msanii Marioo ameandika kuwa, “Kabla ya kila kitu Niliahidi kutoa Ngoma Week ya kwanza ya Mwezi huu ambayo ilikuwa ndo leo tars lakini Baada ya kila kitu. kutokea...
6 Reactions
12 Replies
863 Views
Msanii wa muziki nchini Joh Makini ameungana na watanzania katika kipindi hiki kigumu "Pole yetu sote Watanzania lakini zaidi kwa ndugu jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao Mwenyezi Mungu...
1 Reactions
6 Replies
329 Views
Juma Jux kupitia ukurasa wake wa Instagram ametoa pole kwa famili zilizopoteza watu katika maandamano. "Mungu ibariki 🇹🇿 tanzania, praying for peace and healing. Mungu awatie nguvu na faraja...
4 Reactions
8 Replies
402 Views
Kutoka katika ukurasa wa Instagram wa msanii wa Bongo Flavour Phina... "moyo wangu ni mzito sana... 💔 pole nyingi kwa familia, ndugu na marafiki waliopoteza wapendwa wao. tunaomboleza pamoja...
1 Reactions
6 Replies
268 Views
Back
Top Bottom