Anaitwa Swabrina Ghalibu huyu atakuwa ni msichana wa kwanza kabisa kufanya kazi Mortuary akiwa na Umri mdogo ana Miaka 19
Atakuwa anatunza miili ya binadamu Mortuary na kuifanyia kila Taratibu...
Mkurugenzi wa bendi ya fungakazi modern taarab kapteni abdalla temba wamejikuta wakichambana na mkurugenzi wa bongo modern taarab anayejiita senior bachelor
Hii imetokea baada ya senior bachelor...
Habari zenu, kama ilivyozoeleka wasanii hupendelea kutafuta location nzuri kwa ajili ya ubora wa kaz zao. Miongoni ya vivutio ndan ya jiji la Dar ni daraja la Kigamboni.
Mi natabiri Diamond...
Unanishangaza wewe ni meneja wa wanamuziki wengi tu kama Madee, Tundaman, Shaa na Dogo janja.
Inakuwaje Diamond peke yake ndio unampromote sana kuanzia ubora wa video show kumtafutia nje mpaka...
Steve C Kanumba (R.I.P) ni jina lake halisi ambalo alivuma nalo, ni wasanii wachache sana wanaoweza kutokea kwa mtindo huu, hata yule aliyekuwa naye usiku wa mauti yake anajulikana kwa jina lisilo...
Niaje wakuu,
Bila shaka kwa wale wapenzi wa hiphop mnaielewa vizuri hii ngoma ya stamina alioshirikisha vichwa kibao ambapo Fid a.k.a kaka mkubwa amesimama kama dingi yake stamina. Swali ni kwamba...
Bandugu,
Kuna hii jingle ya Cocacola iliyofanywa na msanii Diamond Platnumz naisikia mara kwa mara kwenye vituo vya redio.
Ameimba kwa Kiswahili, sijakariri maneno ila yapo, 'Sikamatikiii...
Hii redio ndio maaana waligombana na wasanii fulani hivi kuna siku walifanya interview na msanii wa miziki ya kufokafoka a.k.a Hip Hop/Rap anaitwa Mansuli yaani wamefanya dakika 5 basi ikaishia...
Collabo ya Diamond na Mafiizolo ambayo inatoka hivi aribuni mwezi huu inategemewa kumfikisha mbali zaidi Diamond.
Kwa mtazamo wangu hii video na wimbo kwa ujumla itaweka rekodi mpya ya views...
Staa wa muziki wa Bongo Fleva Kheri Sameer ambaye wengi tumemzoea kwa jina la Mr Blue, leo April 14 2016 hatimaye ameamua kufunga ndoa na mama wa watoto wake Waheeda.
Mr Blue amefunga ndoa na...
Mjasiriamali maarufu mjini , zari amefunguka kuwa masikio yake pamoja na ngozi yake nyororo amerithi kutoka kwa babu yake ambaye ni mwarabu aitwaye sultan
Imenifika hapa....
Naona makampuni mengi Sana apa bongo yanampaparukia msanii mmoja tu kuwa brand ambassador. Hivi wasanii wengne hakuna amekuwa ni Diamond tu kila tangazo inakera sana hii...
Igweeeeee.....
Leo katika pitapita zangu nilisikia wimbo flani ulioimbwa na vijana waliovuma miaka ya nyuma, PNC, DOGO JANJA, CASSIM MGANGA, Z-ANTO na PINGU, kawimbo kalikuwa kanamsifia sana...
Huu ndo mjengo na baadhi ya magari anayomiliki mtangazaji wa times FM , Dida Shaibu...
================================
================================
Monday, August 4, 2014
DIDA WA TIMES FM...
Hawa wasemaji wawili wa Simba na Yanga wana sifa inayofanana,hakuna asiyejua sakata la Jerry Muro aliwai kushitakiwa kwa makosa ya kuombaa rushwa mwaka 2010,na mwaka huohuo 2010 Haji Manara...
Jamani huyu mdada huwa ananiacha hoi jinsi anavyoongea na misemo
anayotoa pamoja na anavyorembua macho na mikono anaitingisha kwa madaha mwenzenu niko taabani,mfano juzi nilimsikia akisema...
Aliyekuwa nyota wa filamu za ngono
Aliyekuwa nyota wa filamu za ngono Amber Rayne amefariki nyumbani kwake mjini Los Angeles ,maafisa wamethibitisha.
Marafiki na waliokuwa wafanyikazi wenzake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.