Muda si mrefu kipindi cha maisha ya Diamond Platnumz ya kila siku kitakuwa hewani

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
(Can you try to guess the name of our Reality Show?)

(Muda si mwingi kipindi cha Maisha yangu ya kila siku,Familia na Team yangu nzima itaanza kuwa kwa TV yako pendwa...nakuahidi sio tu eti kireality show..... ni Reality show Bora ambayo naamini utaipenda kuanzia kwenye Quality, Mikasa na Matukio yote nnayopitia mimi.Familia na Team yangu kila siku.

Mengi yanaonekana, unayosikia, Unayosoma ila kwenye Hiki Kipindi ndicho itakua Thibitisho la kila uvumi uusikiao...sijui kipini puani, Mara jicho, Mara Sjui @officialshetta, Mara DNA, Mara@romyjons kutoinekana tena kwenye Tour Ghafla...

Niamini Mimi yote utaona na kuyapata kwa uwezo kabisa,kaa na Mimi.......!We unavyohisi reality show yetu itakuwa inaitwaje? Cc
@Zarithebosslady @romjons
Asema Diamond Platnumz toka ukurasa wake wa Instargramme.
 
Attachments

  • 1460265028292.jpg
    1460265028292.jpg
    36.5 KB · Views: 69
Reality show za huko nyumbani ni uongo nimewahi kutazama kadhaa ni kama maigizo tuu

Go Back to reality ya Wayne wakati wa Carter 4 Bongo magumashi mengi
 
(Can you try to guess the name of our Reality Show?)
(Muda si mwingi kipindi cha Maisha yangu ya kila siku,Familia na Team yangu nzima itaanza kuwa kwa TV yako pendwa...nakuahidi sio tu eti kireality show..... ni Reality show Bora ambayo naamini utaipenda kuanzia kwenye Quality,Mikasa na Matukio yote nnayopitia mimi.Familia na Team yangu kila siku....Mengi yanaonekana,unayosikia,Unayosoma ila kwenye Hiki Kipindi ndicho itakua Thibitisho la kila uvumi uusikiao...sjui kipini puani,Mara jicho,Mara Sjui @officialshetta,Mara DNA,Mara@romyjons kutoinekana tena kwenye Tour Ghafla......Niamini Mimi yote utaona na kuyapata kwa uwezo kabisa,kaa na Mimi.......!We unavyohisi reality show yetu itakuwa inaitwaje.....? Cc
@Zarithebosslady @romjons
Asema Diamond Platnumz toka ukurasa wake wa Instargramme.

Aipeleke tandale
 
Lazima afunike... akionyesha Eatv itakuwa amecheza bonge la move.... clouds tv huwa sipendi audio yake
 
Reality show za huko nyumbani ni uongo nimewahi kutazama kadhaa ni kama maigizo tuu

Go Back to reality ya Wayne wakati wa Carter 4 Bongo magumashi mengi
Sawa tushajua kuwa upo nje, lakin hiyo haituhusu
 
Lazima afunike... akionyesha Eatv itakuwa amecheza bonge la move.... clouds tv huwa sipendi audio yake

kama ningekua mshauri wake basi ningemwambia aipeleke clouds tv maana inaonekana karibia nusu nzima ya africa kupitia dstv na baadhi ya satellites ambazo tv hiyo wamejiunganisha ili tu kufikia mamilions ya mafans wake wasio na access ya eatv kwenye dikoda zao
 
Hi madam Wema ataipenda sana maana atazungumziwa kama demu aliyechezea ndonga ya Diamond.

Reality show haitakuwa binge kama hatoutaja huo mzigo.
 
kama ningekua mshauri wake basi ningemwambia aipeleke clouds tv maana inaonekana karibia nusu nzima ya africa kupitia dstv na baadhi ya satellites ambazo tv hiyo wamejiunganisha ili tu kufikia mamilions ya mafans wake wasio na access ya eatv kwenye dikoda zao
Kama coverage yao ipo hivo basi wapo vizuri... ila tatizo audio mbovu bila kusahau production yao ni mediocre
 
Kwa reality tv show za bongo nilizoziona zote wanafanya Kama wana act labda huyu atakuja kitofauti...
Maana sometime nafikiri hawajui Maana ya Reality TV show!
 
kama ningekua mshauri wake basi ningemwambia aipeleke clouds tv maana inaonekana karibia nusu nzima ya africa kupitia dstv na baadhi ya satellites ambazo tv hiyo wamejiunganisha ili tu kufikia mamilions ya mafans wake wasio na access ya eatv kwenye dikoda zao
Yaan kweli unashauri TV zetu zionyeshe mashoga wanaotoboa pua, je kama kuna mambo ya kulambana huko wanaume kwa wanaume unataka watoto wetu waangalie, aisee naiomba serikali sikivu ipige marufuku kabla hata hakijaanza sio mila zetu na pia hii ndo itakua mtihani kwa BASATA kama wao ni jipu au
 
nani kakwambia diamond katoboa pua? acha kuaminishwa na magazeti ya shigongo
 
Back
Top Bottom