BigBro
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 3,466
- 10,976
Mwisho Mwampamba kulia akiwa na mdogo wake walieshare baba, Robert Mwampamba (kushoto). Hapo walikuwa mahakamani juzi mjini Morogoro ambapo Mwisho kashitakiwa na mdogo wake kwa kumtukana matusi ya kibaguzi. Hii ni siku chache baada ya Baba yao kufariki duniani.