Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Aliyekuwa Muigizaji wa tamthilia ya Zahanati ya kijiji Bi Ubwa amefariki leo tarehe 20/4/2024. Hakika sisi ni wa Mungu na kwake tutarejea. ======= Msanii wa maigizo nchini aliyefanya vizuri...
5 Reactions
66 Replies
3K Views
Habari zilizotufikia punde ni kuwa mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Hamisi Tale au Babu Tale) aitwaye Shamsa Tale almaarufu kama Shammy Nails amefariki. Pole kwa familia ya Babu Tale maana...
13 Reactions
807 Replies
109K Views
Mwanamichezo maarufu, O.J. Simpson amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76 kwa kansa. Simpson pamoja na michezo anakumbukwa kwa kesi ya mauaji ambapo alituhumiwa kumuua mkewe Nicole Brown(35)...
8 Reactions
78 Replies
4K Views
Muonagor alifariki jana baada ya kupambana na ugonjwa wa figo kwa muda mrefu. Hii ilikuja siku chache baada ya video iliyosambaa ambapo aliiomba msaada wa kifedha kutoka kwa wanaijeria ili...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
  • Redirect
Mchezaji wa Mpira wa zamani wa American Football O J Simpson amefariki dunia Kwa majibu wa familia yake, O J Simpson amefariki dunia kwa ugonjwa wa Kansa O J Simpson amefariki akiwa na umri wa...
2 Reactions
Replies
Views
Dee7 (jina lake maarufu) aliekuwa mtangazaji wa radio Kiss FM ya jijini Mwanza amefariki dunia hapo jana tarehe 23.09.2023. Kwa wale waliokuwa wapenzi wa kipindi cha African Beats pale Kiss FM...
18 Reactions
71 Replies
9K Views
Msanii wa Vichekesho Nchini Tanzania 🇹🇿 Umar Lahbedi Issa, Maarufu Kwa Jina la Mzee wa Mjegeje, Amefariki Dunia Leo Alfajili Katika Hospitali ya Mwananyamala Alipokuwa Akipatiwa Matibabu. Taarifa...
14 Reactions
69 Replies
5K Views
Mwanatasnia maarufu Kutoka India Sophia Leone miaka 26 ameripotiwa kukutwa amefariki dunia nyumbani kwake, uku chanzo halisi Cha kifo chake kikiwa bado hakijafahamika kutoka kwenye mamlaka...
15 Reactions
222 Replies
13K Views
Msaniii wa muziki wa kizazi kipya (bongo Flava) Abeli Motika alimaarufu kwa jina la Mr .Ebbo mwenye umri wa miaka 37 amefariki dunia mkoani hapa. Msanii huyo amefariki dunia juzi saa nne usiku...
2 Reactions
559 Replies
91K Views
Mchezaji wa soka wa Palestina, Mohammed Barakat, aliuawa Jumatatu wakati shambulio la angani la Israeli lilipogonga nyumbani kwake katika mji wa kusini mwa Gaza wa Khan Younis. Nyumba yake ya...
2 Reactions
14 Replies
864 Views
Wadau nilipita Mama Ngoma Health Centre Mwenge na kukuta watu wakilia kuuliza naambiwa Video Queen Masogange amefariki muda mfupi uliopita. ========= UPDATES: ========= Video queen maarufu...
40 Reactions
1K Replies
254K Views
He died after fighting leg amputation. Mwigizaji wa Nigeria, John Okafor maarufu kama Mr Ibu (62) amefariki dunia leo Machi 2, 2024 wakati akiendelea kupatiwa matibabu hospitalini. Kulingana...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Habari wanaburudani, nimepokea taarifa za kusikitisha za msiba wa Producer Geof Master muda huu. Naambiwa alikua kalazwa Ocean road. Mara ya mwisho kuonana nae mitaa ya Tegeta alikuwa na uvimbe...
14 Reactions
57 Replies
6K Views
Mkurugenzi wa vipindi Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amefariki dunia usiku huu Februari, 26 akipatiwa matibabu nchini Afrika Kusini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe...
112 Reactions
4K Replies
595K Views
Peetah Morgan enzi za uhai wake Mwimbaji kiongozi wa bendi ya Reggae ya Morgan Heritage, Peter 'Peetah' Morgan, amefariki. Bendi hiyo imetangaza kifo cha Peetah kupitia taarifa iliyopostiwa...
8 Reactions
44 Replies
3K Views
RICHARD TUNDA:KIFAA TOKA TIP TOP CONNECTION, AMEFARIKI DUNIA NI MDOGO WA MKALI WA BONGO FLEVA TUNDAMAN.. JINA: Richard Ramadhan Tunda KUZALIWA: Februari 3, 1989 (Miaka 35) ALIPOZALIWA...
9 Reactions
30 Replies
3K Views
Wanabodi, Nimepokea taarifa kuwa Mtangazaji Maarufu wa RTD, (sasa TBC), ABISAY STEVEN, amefariki dunia asubuhi hii. Mpashaji habari wangu amesema msiba huo umetokea katika hospitali ya Muhimbili...
8 Reactions
61 Replies
12K Views
Habarini za usiku wakuu, kwa masikitiko mwanamuziki Josky Kiambukuta amefariki dunia mapema Leo huko Kinshasa. Marehemu Josky Kiambukuta alikuwa mwanamuziki hodari aliyeimba katika bendi ya Tp...
9 Reactions
55 Replies
6K Views
Carl Weathers, ambaye shughuli zake za utafutaji wa ugali zili anzia kwenye mchezo wa nfl Hadi uigizaji. Ana kumbukwa kutokana na uigizaji wake nzuri, kwenye filamu kama Creed, na Predator...
8 Reactions
57 Replies
2K Views
Msanii CPWAA ameaga dunia mapema alfajiri ya leo wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa msanii huyo ni kwamba marehemu aliukuwa anaugua...
43 Reactions
481 Replies
60K Views
Back
Top Bottom