Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,487
Roma Mkatoliki,msanii maarufu wa hiphop Tanzania hatimaye ameamua kufunga ndoa rasmi na mpenzi wake wa longtime ambaye wana mtoto pamoja (Ivan) April 9 2016. Ndoa hio imefungwa nyumbani Tanga na ni baada ya send-off kufanyika Dar es salaam February 2016.
Ndoa yao imefungwa Jumamosi hii na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali akiwemo Kala Jeremiah aliyekuwa best man. Wawili hao wana mtoto wa kiume, Ivan.
All the best Roma
Ndoa yao imefungwa Jumamosi hii na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali akiwemo Kala Jeremiah aliyekuwa best man. Wawili hao wana mtoto wa kiume, Ivan.
All the best Roma