Rappers bora wa muda wote nchini Tanzania

pongwer

Senior Member
Mar 19, 2015
174
26
KUTOKANA NA KUFATILIA HIP HOP KWANGU KWA MZIKI WA MAHADHI HAYO NCHINI TANZANIA KWA MUDA WOTE NALETA MARAPPER NA WAANDISHI BORA KWA MUDA WOTE :

1. JAY MOE
2. FID Q
3. PR. JAY
4. SUGU
5. FATHER NELLY
6. HASHIM DOGO/SAIGON
7. STOPPER RHYMES
8. LANGA KILEO(hayati)
9. NIKKI MBISHI/SOLO THANG
10. BONTA/NASH MCEE
11. ONE INCREDIBLE
12. JCB
13. SONGA
14. NIKKI II
15. LORD EYEZ
16. G NAKO
17. ZAIID/P THE MCEE
18. CHINDO
19. JOH MAKINI/MWANA FA
20. MANSU LEE
21. ZILLAX/ARBERT MANGWEAR(hayati)
22. STAMINA
23. R.O.M.A
24. WAKAZI
25. STEREO
26. DARASA
27. MABESTE
28. JOSE MTAMBO
29. CLIF MITINDO(atakuja kusumbua sana sababu flow zake tamu sana kiukweli)
30. Loading........98.9%(pongwer new rapper)


NOTE:
TOA MAONI YAKO ILA KWA UPANDE WANGU MIMI MTAYARISHAJI WA PLAYLIST HII HAYO NDO MAWE YANGU NA WAPO KTK NAFASI ZAO PASIPO UPENDELEO "WOWOTE" NA SIDHANI KUNA ATAKAYEKOSOA WAPO KTK MSIMAMO HUO KUTOKANA NA UWEZO WAO WA UTUNZI WA MASHAIRI YA KI-HIP HOP!

Ahsantenii.........

*Afande sele namkubali ila sina hakika anaimba mahadhi gani maana yeye na mpoto waje kutuambia wanaimba nini !wanachanganya kwa kweli !
 
kuna jamaa nmemsahau alikuwa ktk kundi X-Plastaz ni hatari
 
Yaani Darasa ni bora kushinda Afande sele??!!

sasa afande anaimba mahadhi hani? sababu hata hip hop unawez kuijua ktkana na mapgo ya beat, yule anajijua mwenyew uimbaj wake ila kibongo bongo anawez ekwa kwa mwanahip hop
 
10. Kundanamba
9. Sun Jacko
8. Dr. Wise a.k.a Chancellor Wise
7. Kwakser King
6. Dr Dreto
5. Kambosonic and Muradix
4. Crazy power
3. Adili
2. Gillbiz
1. Too Proud


hao…rappers wa kenya au
 
Faza nely KALAMASHAKA ukoo flan YUZO hashimu dogo jcb chindo stoper rymes exploster baloz mr 2 jay moe solo thang prosesor vip au steve kavuye mtangazaji fid q roma
 
Mtayarishaji una bifu na afande sele nini au unataka kusema zile tuzo za hiphop alibebwa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom