Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Leo mwadada mkongwe jaydee anazindua album yake ya 7 pale King Solomon Hall wadau na wapenzi mnatakiwa kujitokeza kwa wingi kumpa support, mwanzo uzinguzi huo ulipangwa kufanyika katika ukumbi wa...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
[https://1] MALKIA wa Mipasho Tanzania, Khadija Kopa amefunguka kuwa hajawahi kuchepuka tangu mumewe afariki dunia, kwa sababu anaogopa kuchuja, kuchoka na kuzeeka mapema. Global TV Online...
0 Reactions
25 Replies
14K Views
Jana nilikuwa kijiweni na vijana wengi walikuwa wanamponda Diamond kwa kuwa nyimbo zake nyingi hazikemei maovu kwenye jamii. Pia wanauona mwelekeo wake ni kusaka tonge zaidi ya kujali mustakabali...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Toka jana natazama clouds tv rwanda channel namba 171 azam decoder. Nilikuwa nadhani wanyarwanda hawajui kuimba hawana mziki mzuri ila nimestaajabu wanaimba mziki kama wa kwetu kwa kilugha chao...
3 Reactions
8 Replies
4K Views
(Faza Nelly) From the album 'Maasai hip hop' (Out Here records, 2004) Swahili lyrics (English intro): All my people East Africa Tanzania, Uganda and Kenya Dar es Salaam, A town Wherever...
8 Reactions
43 Replies
16K Views
Kama binadamu na Kama mzazi ukiacha mapungufu yote ya Lulu. Elizabeth Michael naye ni binadamu mwenye hisia kama wengine! Anastahili kupata kila unachostahili wewe, upendo ulinzi kujaliwa utu...
14 Reactions
79 Replies
12K Views
Msanii mkongwe muigizaji wa Bongo movie Jacob Steven JB, ametoa sababu ya bongo movie kudorora kwa sasa. Amedai bado haijafa ila inapitia kipindi cha mpito, na kinachoifanya ikafifia ni kutokana...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Kweli ujana maji ya Moto, kwa sisi vijana wa wakati huo, au Old school wengi tunamkumbuka vizuri rapa wa kimarekani wa Enzi hizo coolio, aliyetamba na vibao kadhaa kama vile I'll c u when u get...
3 Reactions
31 Replies
7K Views
Mmiliki wa kampuni ya Global Publishers, Eric Shigongo ameandika barua yenye ujumbe mzito kwa Diamond kupitia mtandao wa Instagram. Kupitia mtandao huo, Shigongo ameandika: Nampenda Diamond...
9 Reactions
91 Replies
16K Views
Au ndo mambo ya Kiki?
4 Reactions
94 Replies
15K Views
Asilimia karibu zaidi ya 90 wasanii wa bongo flavour hujikuta wote wanaimba nyimbo nyiingi zinazofanana mlengo,na hii hutokea kwa sababu KARBU WOTE HUIMBA KUHUSU MAPENZI..na huwa wakiulizwa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which...
71 Reactions
525 Replies
87K Views
Huwa si mpenzi sana wa kuangalia taarifa ya habari star tv mara kwa mara isipokuwa ni pale kwenye taarifa zao za kimataifa ambazo huchanganuliwa vizuri. Pia huwa napenda sana kuangalia kipindi cha...
2 Reactions
75 Replies
23K Views
kwenye facebook page ya jaffarai inasema: NIMEAMUA KUACHANA NA ALIEKUA MPENZI WANGU KWA TAKRIBAN MIAKA 8 SHYROSE BHANJI..
1 Reactions
336 Replies
63K Views
Akitokea kwenye utangazaji wa habari channel ten hakuna aliyemjua kiundani ni nani hasa. Baadae akaea P.R.O NMB hapo ndipo alipoanza kutambilika uhalisia wake akaingia kwenye mapenzi motomoto na...
3 Reactions
52 Replies
12K Views
Hayo kayasema Irene majuzi wakati akikaangwa. Nakumbuka kuna gazeti la pale Bamaga lishawahi kuripoti habari ya Diamond na Uwoya kutoka kimapenzi.. Ilikuwa uongo? Kiki? Exclusive: Diamond...
0 Reactions
10 Replies
13K Views
Bidada anayemuweka mjini Harmo rapa kumbe sio mtu wa mchezo mchezo, baada ya kufanyiwa alichokiita ni kuchukuliwa poa na msanii aliyekuwa chini yake, dada huyo alimyimua jamaa huyo usiku wa manane...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Huyu mwanamke anatisha nilijua labda kavaa mask kumbe alifanyiwa surgery afanane na paka kisa mpenzi wake alikuwa anampenda sana paka wake kupitiliza ,akaona atumie pesa nyingi ajibadilishe Sasa...
6 Reactions
25 Replies
6K Views
Mpigie kura Diamond Platnumz ili aibuke mshindi katika kipengele cha video ya mwezi. Hakikisha una akaunti twitter na tena nenda MTV BASE EAST kupiga kura. FROM MTV BASE EAST.
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Kila la heri Paul Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu katika dunia hii , make Bongo flavours hit again. Happy birthday Khalfani a.k.a Mdachi.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom