Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Baada ya Kipindi cha Shilawadu kukumbwa na misuko suko clouds wamekuja na kipindi kingine cha ukwaju wa meja Jenerali, kinachorushwa na Musa Hussein msikilize hapa alivyokitangaza leo
5 Reactions
17 Replies
8K Views
Habari zenu wana JF Ikiwa ni jumapili Mubashara kabsaaaa kwangu lakini kwa upande wa Prince Daud Albert Bashite(jina lake halali kabsa) alimaarufu kama Paul C. Makonda(jina feki) mambo ni Mabaya...
7 Reactions
86 Replies
25K Views
Habari ya muda huu wana jukwaa. Nimejaribu kulinganisha sebene za wasanii mbalimbali hasa kutoka DRC nikaona werrason sebene zake zinakimbiza ile mbaya, mfano Kata fumbwa, mipende na mzigo...
2 Reactions
69 Replies
18K Views
Msanii anayeibukia kwa kasi akiwa na mbunge wa Mbeya Mjini walitinga ofisi za Cloud s Media kuwapa pole kwa walichofanyiwa na Makonda waandishi wa habri walionekana kumzonga super star huyo mara...
6 Reactions
48 Replies
8K Views
Wana jamvi wenzangu Nimekaa toka jana jion nikifikilia kwanin mtumish wa mungu anaweza kufanya maovu ya namna ile ya kumzalisha mwanamke haraf kumtelekeza huku akijua kabisa yeye ni moja ya...
20 Reactions
141 Replies
16K Views
Sabakher Wadau; Nimevumilia Ila Naona Sasa Mambo Yananifika Shingon! Jaman Yf Wangu Anampenda Diamond Mpaka Mi Naona Wiv Wa Kufa Mtu!! Hebu Chek; Profile Picture Fb Kamuweka Diamond. Profile...
5 Reactions
70 Replies
11K Views
Kwa siku nyingi naona jinsi huyu dada anavyoleta habari kama za kijasusi vile, tena nzito nzito na anazileta bila woga. Na wakati mwingine nabak najiuliza huyu dada ni nani? Hivi mume wa huyu...
11 Reactions
113 Replies
19K Views
Habari zenu wanajamvi ? Kwa niaba yenu wapenzi wa hii forum yetu pendwa ya celebrities ,leo nimeamua kuja na wazo la kutowaunga mkono wasanii wote wanaomuunga mkono magufuli na bashite wake...
22 Reactions
73 Replies
8K Views
Kipo kipaji kimoja kikongwe sana cha r n b kinaitwa Nuruel. Huyu jamaa ni mwanamuziki kweli. Ni zaidi ya Raymond. Alitoka na 'mng'aro wa silver. Akaja na kilio. Akaja kuimba na b band wimbo wa...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Nimeshangaa katika pitapita zangu instagram kukuta Mange Kimambi kafuta post zake zote za kukashifu wengine, kampain choma kadi ya CCM etc. Nilichokikuta na posts za yeye na Familia yake tu. Huyu...
7 Reactions
80 Replies
15K Views
Hii Picha imeniaminisha kwamba lulu ameachana na majizo maana sio kwa kukonda huko.[emoji116] [emoji116] Check hii Picha akiwa na majizo[emoji116] [emoji116] [emoji116] Kumbe pesa sabuni ya...
6 Reactions
43 Replies
13K Views
Ni takribani miezi sita sijamsikia huyu jamaa aliyejizolea umaarufu kutoka kwa wake zetu akiaminika aliweza kuwasaidia wamama kupata matumaini yao yaliyopotea kufuatia kukosa nguvu za kike na...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Huyu jamaa namuelewa toka enzi zake yuko na wanae kina Jaffarahino maana bora tujadili music kwa sasa mpaka akit...........
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Linah baada ya shoga ake mrs super star kumpindua kwa danga lake na mwenzie kuamua kumzalia hatimae wamaliza tofauti zao
1 Reactions
48 Replies
7K Views
MUZIKI unachukua sehemu kubwa ya maisha yetu ya kila siku, umekuwa ukitupa faraja pale tunapoonekana kukata tamaa, ukitajiririsha ile furaha tuliyonayo katika nafsi zetu na kuturejeshea kumbukumbu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu, Leo katika pitapita zangu huko you tube nimekutana na video ya msanii Rama dee inaitwa - Kipenda roho Aisee ni bonge moja ya rnb song Kinacho nishangaza ni kwanini haikupewa na mpaka sasa...
16 Reactions
135 Replies
17K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Habari inayotrend kwa sasa ni tukio la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kumkataza mkewe kutofuatana naye Dar kwa ajili ya kesi ya Kamanda Wema Sepetu. Mke wa Lema...
9 Reactions
142 Replies
15K Views
wakuu mkipitia katika page za timu ya KRC-GENK, ya belgium anakocheza mtanzania mwenzetu mbwana samatta,, utakuta wabongo wamezifollow page za facebook na instagram za hiyo timu,sasa kimbembe...
6 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom