brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,382
Leo mwadada mkongwe jaydee anazindua album yake ya 7 pale King Solomon Hall wadau na wapenzi mnatakiwa kujitokeza kwa wingi kumpa support, mwanzo uzinguzi huo ulipangwa kufanyika katika ukumbi wa Lugalo Golf club lakini wamebadilisha
Tofauti na mwanzo wakati wa anafanya tamasha la "Naamka tena" pale mlimani city kipindi ametoa wimbo wa Ndi Ndi Ndi watu walikuwa na hamasa kubwa na hype ilikuwa juu sana mlimani city hall ilijaa sana
Uzinduzi huu jambo temper iko chini tunatarajia leo watu wajitokeze kwa wingi kutoa support
Viingilio no VIP 50,000 na kawaida 20,000
=================================================
"Naomba kuwafahamisha mabadiliko ya venue. Woman Album launch itafanyika best bite (Ada Estate Kinondoni) King Solomon Hall kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu"..........from jidejaydee istagram