Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,287
- 70,696
Huyu mwanamke anatisha nilijua labda kavaa mask kumbe alifanyiwa surgery afanane na paka kisa mpenzi wake alikuwa anampenda sana paka wake kupitiliza ,akaona atumie pesa nyingi ajibadilishe
Sasa mbona naona katisha zamani alikuwa mzuri ,sasa hivi uwiiii yaan nikikutana nae naweza zimia mie, Halafu nchi za wenzetu teknologia si imeendelea hawawezi mrudisha hali yake ya zamani. Hebu muone alivyokuwa mzuri
hapa
,
Huyu boyfriend wake sijui mumewe lol. Nasikia wengi wanafanya upasuaji wa kuongeza nyonyo , makalio kama Nick minaj, Kim kardashian,,
Wewe utafanya mazoezi weee ya kuondoa tumbo kumbe wenzako wanagharamia tu wanafanyiwa upasuaji unawaona warembo tu , niliona picha Minaj alikuwa flat screen sasa hiv tako tako
Ila huyu Jocelyn kaniuma lo. Halafu cha kushangaza pua zao ni ndefu na ni nzuri tu lakin bado eti wanazichonga sijui nani kawaloga