elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,732
Toka jana natazama clouds tv rwanda channel namba 171 azam decoder.
Nilikuwa nadhani wanyarwanda hawajui kuimba hawana mziki mzuri ila nimestaajabu wanaimba mziki kama wa kwetu kwa kilugha chao tena wanajua kuimba zaidi ya wasanii wetu wengi.
Wana videos kali yani hata kama hujui lugha unajikuta unaenjoy mziki wao.
Nashangaa kwanini haujatoboa wakati chameleone ametoboa na kiganda chake.
Wana mziki mzuri sana aisee...