Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,181
Jana nilikuwa kijiweni na vijana wengi walikuwa wanamponda Diamond kwa kuwa nyimbo zake nyingi hazikemei maovu kwenye jamii.
Pia wanauona mwelekeo wake ni kusaka tonge zaidi ya kujali mustakabali wa taifa.
Hawa vijana walimfyagilia sana Ney wa Mitego kwa msimamo wake dhabiti wa kukemea dhuluma za watawala na kudai ndiye mwanamuziki wanaemkubali sana.
Ila kikao chake na Dr. Mwakyembe kimewatia hofu asije kupewa peremende Kama Platinumz akawaacha bila mtetezi.