Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,940
- 19,130
Bidada anayemuweka mjini Harmo rapa kumbe sio mtu wa mchezo mchezo, baada ya kufanyiwa alichokiita ni kuchukuliwa poa na msanii aliyekuwa chini yake, dada huyo alimyimua jamaa huyo usiku wa manane kwenye nyumba aliyokuwa akiishi nae