bily JF-Expert Member Apr 5, 2012 8,029 5,788 Mar 30, 2017 #1 Kila la heri Paul Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu katika dunia hii , make Bongo flavours hit again. Happy birthday Khalfani a.k.a Mdachi.
Kila la heri Paul Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu katika dunia hii , make Bongo flavours hit again. Happy birthday Khalfani a.k.a Mdachi.
Iceman 3D JF-Expert Member Sep 3, 2016 20,611 67,091 Mar 30, 2017 #3 Hivi p funk atakuwa haja fika miaka 50?
bily JF-Expert Member Apr 5, 2012 8,029 5,788 Mar 30, 2017 Thread starter #5 Iceman 3D said: Hivi p funk atakuwa haja fika miaka 50? Click to expand... Yuko na 36 mkuu
bily JF-Expert Member Apr 5, 2012 8,029 5,788 Mar 30, 2017 Thread starter #6 ngushi said: Mwambie nampenda mwanae paula Click to expand... Ukipigwa bastola mi simo
ezedabext JF-Expert Member Nov 13, 2016 378 118 Mar 30, 2017 #8 ngushi said: Mwambie nampenda mwanae paula Click to expand... Alivyo na hasira ataua mtu
Iceman 3D JF-Expert Member Sep 3, 2016 20,611 67,091 Mar 30, 2017 #9 bily said: Yuko na 36 mkuu Click to expand... Duuh Kadanganya umri huyo jamaa Ila HBD jamaa ni legendary
bily said: Yuko na 36 mkuu Click to expand... Duuh Kadanganya umri huyo jamaa Ila HBD jamaa ni legendary
Tajirimsomi JF-Expert Member Jan 12, 2017 4,824 5,580 Mar 30, 2017 #10 ngushi said: Mwambie nampenda mwanae paula Click to expand... Ata mm nampenda kajala anajua instagram ananiitaga mkwe
ngushi said: Mwambie nampenda mwanae paula Click to expand... Ata mm nampenda kajala anajua instagram ananiitaga mkwe
Ngushi JF-Expert Member Jul 8, 2016 9,065 18,358 Mar 30, 2017 #11 Tajirimsomi said: Ata mm nampenda kajala anajua instagram ananiitaga mkwe Click to expand... mmmh
Tajirimsomi JF-Expert Member Jan 12, 2017 4,824 5,580 Mar 30, 2017 #12 ngushi said: mmmh Click to expand...
bily JF-Expert Member Apr 5, 2012 8,029 5,788 Mar 30, 2017 Thread starter #13 Iceman 3D said: Duuh Kadanganya umri huyo jamaa Ila HBD jamaa ni legendary Click to expand... P mdogo minyama tu Yale kuku wa kizungu .
Iceman 3D said: Duuh Kadanganya umri huyo jamaa Ila HBD jamaa ni legendary Click to expand... P mdogo minyama tu Yale kuku wa kizungu .
evangelical JF-Expert Member Nov 21, 2011 4,897 7,961 Mar 30, 2017 #14 Happy Birthday the legend, you are an icon in the bongo hip-hop.. Salute to you. Live long bro,