Irene Uwoya: Sijawahi kufanya mapenzi na Diamond

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,067

Hayo kayasema Irene majuzi wakati akikaangwa.

Nakumbuka kuna gazeti la pale Bamaga lishawahi kuripoti habari ya Diamond na Uwoya kutoka kimapenzi.. Ilikuwa uongo? Kiki?

DAWOYA.jpg

Exclusive: Diamond, Uwoya wanaswa hotelini

Stori hiyo ilimkuna hasa Jokate kwani alikuwa na vita baridi na Uwoya kwa wakati huo baada ya Uwoya kudaiwa kumnanga Jojo kuwa anawezaje kutoka na mtu km Diamond (kisa ana md*** mbaya).. Kama sikosei, Jojo alinukuliwa akisema '“Hahaha sasa ndiyo nini tena, yeye si aliwahi kunisema mimi nakwapua mabwana? Sasa leo imetokea kwake tena!” alisema Jokate.

Lakini nakumbuka pia hata Diamond ashawahi kuzungumzia kutoka na Uwoya siku za nyuma. Na tukajadili hapa > Diamond aanika kilichomfanya aonje 'uroda' kwa irene uwoya...!!

Halafu, yupo mwanaJF mwenzetu ashawahi kudai kuwafuma mitaa ya Kinondoni. Akaja kumwaga mchele hapa > Diamond jiheshimu achana na Irene Uwoya atakuua

Zamaradi naye ashawahi kumbana Diamond kuhusu ishu hii pamoja na tabia yake ya wakati huo ya kuwatembezea bakora mastaa wenye majina makubwa kutoka Bongo Movie... Diamond, hakuficha... Sitaki kugusia ishu ya Diva wa Clouds na Diamond..

Kwenye intavyuu hii, alieleza ilivyokuwa kuanzia Wolper, Wema, Jokate, Uwoya mpaka Penny..

Kuna ambaye aliwahi kuusikiliza kwa sikio la tatu wimbo wa Diamond 'Nimpende Nani'?!

Leo Uwoya anasemaje?!
 
watu bwana mlitaka asemeje ukizingatia kuwa kila mtu ana mahusiano yake kwa sasa angesema ametembea naye mngeanza kusema oh anatafuta kiki au anamwaribia jamaa
 
Hayo kayasema Irene majuzi wakati akikaangwa.

Nakumbuka kuna gazeti la pale Bamaga lishawahi kuripoti habari ya Diamond na Uwoya kutoka kimapenzi.. Ilikuwa uongo? Kiki?

View attachment 488753

Back
Top Bottom