Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Jana Diamond alionekana akizindua mradi. Nilishikwa nabutwaa kwani ni awamu hii tu ambapo hadi wasanii wanaenda kuzindua miradi kwa kuta utepe.
3 Reactions
50 Replies
8K Views
habari wanajukwaa!!! nimekaa nimetafakari sana afu baadaye nikaanza kucheka mwenyewe nilipo anza kukumbuka vichekesho vya hawa jamaa (braza K, kingwendu na babu mkombe). Hawa jamaa kama tunavyo...
0 Reactions
51 Replies
9K Views
Nimeskia true boy yupo kwenye mchakato wa kutoa remix ya WAPO. Na kasema kwenye remix tutegemee wasanii sio chini ya watatu. Wasanii hao ni nani na nani? Mimi ninakaombi tu kwa ney fanya wawepo...
13 Reactions
127 Replies
13K Views
Muigizaji wa Bongo movie amesema atamsome Albadir mtualiye hack account yake ya Instagram, ametoa taarifa kwa polisi na wataalamu wa IT tayari ila kama hatairudisha yupo radhi kumfanya awe kichaa...
0 Reactions
54 Replies
10K Views
Msanii huyu alikuwa akihojiwa kipindi cha XXL clouds FM alipoulizwa atakapoitwa na Rais na kuulizwa swali hilo atajibu vipi. Alisema pale anamaanisha marinda anamaanisha nguo zilizowekewa...
1 Reactions
33 Replies
14K Views
Saa chache baada ya kuachiwa huru kutokana na amri ya Rais John Magufuli, Rapa Nay wa Mitego amesema kuwa atayafanyia kazi maoni ya Rais kuhusu kuboresha wimbo wake kwa namna ya pekee. Rapa huyo...
4 Reactions
37 Replies
6K Views
Ney wa Mitego amewashukuru wasanii wote walioonyesha sapoti kwake kipindi alichokuwa matatizoni pia amemshukuru Rais Magufuli na waziri wake Mwakyembe, ila kuhusu kuonana na Mwakyembe Dodoma kama...
11 Reactions
37 Replies
9K Views
Kila nikimtathmini hasa matendo yake na kubwa zaidi kupenda kupiga picha na kutupia mitandaoni mara akiwa kamshika huyu au kapozi hivi sometimes kihasara hasara na vitu anavyoviandika achilia...
4 Reactions
103 Replies
31K Views
Binti wa Mramba aliyefunga ndoa juzi alionekana kufanana sana na first lady wa awamu ya tatu, inakuwaje?
0 Reactions
44 Replies
26K Views
Alianza idris akapost akaja harmonize akajibu Clapback season
2 Reactions
112 Replies
16K Views
Mwakyembe amesema kupitia yeye ni lazima Diamond na Ali Kiba wakae pamoja kwa kuwa yeye ni baba yao, amemuagiza mkurugenzi anayehusika awapelekee ujumbe huo
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Mfalme akiwa katika starehe zake Zanzibar. Kama Taifa, tunajivunia nini Rais wetu kupokea mgeni wa aina hii? Tukisema hii ni aibu (alama ya bangi kifuani) kwa taasisi ya Rais, tutaitwa wachochezi...
28 Reactions
561 Replies
88K Views
Aliitwa Norval Sinclair Marley, alizaliwa mwaka 1881, alikuwa captain na pia baadae alikuja kuwa msimamizi mkuu wa mashamba makubwa huko Jamaica. Alikutana Na mama yake Bob akiwa Na miaka 60...
11 Reactions
89 Replies
21K Views
Nawapenda mno akina Abdallah Mwaipaya na mwenzie Farhia Middle hasa wakiwa katika Kipindi chao cha Jumapili cha familia. Wana sauti nzuri, wacheshi na wanajua kuendesha vizuri hicho Kipindi chao...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Wasalaam wana jamvi. Mimi ni muumini wa mziki mzuri leo nimesikia wimbo wa Lady Jaydee unaitwa Rozera kwakweli nimeupenda sana wimbo wake kwakweli pamoja na madhaifu yake huyu dada lakini ana...
11 Reactions
40 Replies
9K Views
Kwa sasa Tanzania tuna vipaji mbalimbali katika sekta za michezo. Je, kati ya Samatta,Kiba na Diamond, nani ni zaidi katika jamii,kuitambulisha nchi kimataifa na nani ni maarufu sana hapa bongo?
2 Reactions
115 Replies
25K Views
Habari yako Dada mkubwa? Pole na majukumu ya ujenzi wa Taifa, hasa majukumu yako mazito ya kutupa burudani Watanzania tunao kadiliwa milion 55. Dada wewe ni dada mkubwa sana hapa Tanzania na...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Leo mwadada mkongwe jaydee anazindua album yake ya 7 pale King Solomon Hall wadau na wapenzi mnatakiwa kujitokeza kwa wingi kumpa support, mwanzo uzinguzi huo ulipangwa kufanyika katika ukumbi wa...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
[https://1] MALKIA wa Mipasho Tanzania, Khadija Kopa amefunguka kuwa hajawahi kuchepuka tangu mumewe afariki dunia, kwa sababu anaogopa kuchuja, kuchoka na kuzeeka mapema. Global TV Online...
0 Reactions
25 Replies
14K Views
Jana nilikuwa kijiweni na vijana wengi walikuwa wanamponda Diamond kwa kuwa nyimbo zake nyingi hazikemei maovu kwenye jamii. Pia wanauona mwelekeo wake ni kusaka tonge zaidi ya kujali mustakabali...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom