MTVBASE EAST-pigia kura "Marry you" ya Diamond ishinde video ya mwezi.

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
360cbab249084f3aa528a09de8d47c1d.jpg

Mpigie kura Diamond Platnumz ili aibuke mshindi katika kipengele cha video ya mwezi.
Hakikisha una akaunti twitter na tena nenda MTV BASE EAST kupiga kura.
FROM MTV BASE EAST.
 
Wanamuziki wamefunikwa na wanasiasa hatari sana safari hii kila wakifurukuta wanachezea za uso naona hata kuhamasishana kwenye mitandao kumekosa nguvu..
 
Back
Top Bottom