Ajali iliyotokea jana maeneo ya mikumi mkoani morogoro wakitokea kyela katika maonesho yao imesababisha vifo vya wasanii wa kundi mahiri la 5 stars wapatao kumi na tatu akiwamo Issa kijoti...
Wadau ni ajabu lakini ni kweli, huyu binti katoa single yake na viewer ni 35,613,780
na 43,236 likes, 371,453 dislikes; hii inaonesha wenzetu nchi zilizoendelea mtandao unavyotumika kutoa ulaji...
Mining communities in Ghana needs your support to end poverty and make provision for food security.What is happening to youth and children now?
Check out www.secretariatagsu.cfsites.org
Join to...
Hivi karibu TBC1 imeanzisha kipindi kinachorushwa kila Jumamosi saa 1 usiku chenye jina 'Huku ndio Kwetu',ambacho kinawatembelea na kuwahoji watu hasa wanaoishi maeneo ya uswahilini kama...
Naomba kutoa dukuduku langu kuhusu huyu mtangazaji wa star tv ambaye mara kadhaa hutangaza kipindi cha tuongee asubuhi kinachorushwa na star tv kila siku kuanzia sa moja na nusu asubuhi hadi sa...
YouTube - "Letter to My Fathers" - Poem by January Makamba
Sasa, zamu yenu JF's own in house Hatters, ant-January anti Youth. anti intellectualism, anti intelligentsia, anti everything
Njooni...
Habari za leo wanajamii wenzangu.
jana katika kipindi cha tutashinda cha mzee wa upako channel 10 nilimsikiliza mwanzo mpaka mwisho.kilikua ni maswali na majibu kuhusu huduma yake na mipango...
Ndugu Wanajamii,
Taarifa ambazo nimezipata asubuhi hii za kuhusu kufariki kwa aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Radio/TV Tumaini - Mama Ester Chilambo.
Poleni sana Ndugu na jamaa wa karibu na...
Mwanaharakati wa masuala ya kijamii, Shyrose Bhanji (pichani), ametoa kilio chake kutoka moyoni akilalamika kuchezewa rafu na wabaya wake, Amani Jipya linashuka nayo.
HABARI KAMILI
Shyrose...