Lile shindano la selebuka limeishia wapi?

Bongemzito

Senior Member
Nov 5, 2010
162
19
Mimi napata kigugumizi juu ya mwenendo wa wasanii wetu,inakuwaje shindano linaanza watu wanajipanga kila siku wanacheza na jasho linawatoka,tena ukiangalia wengi wao ni maarufu sana TZ.

Inamaana kulikuwa hakuna mkataba,ivi wasanii mtaonewa mpaka lini jamani jueni kudai haki zenu msing'ae macho tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom