Regina Mwalekwa anaporipoti upupu toka Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Regina Mwalekwa anaporipoti upupu toka Bungeni

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Lucchese DeCavalcante, Nov 17, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Wakuu jana nimebahatika kumsikiliza ripota maalumu wa redio ya watu mwanamama Regina Mwalekwa akiripoti habari za bungeni kwa kweli kama walimtoa ITV/Rado1 katika "dirisha dogo la usajili" kuja kufanya kazi hii ni aibuu kweli Clouuddssss ni redio ya............Hebu sikiliza mwenye uchakachue na utoe jibu sahihi..

  View attachment A15-11-10_08.26.mp3
   
 2. M

  MUSINGA JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
   
 3. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...wenzenu weshafanya (Radio) Market research & analysis na kugundua wasikilizaji wao wanataka nini,
  no wonder wanatumia style hiyo ya utangazaji.
  Ita bore kwa baadhi. lakini kwa wasikilizaji wao 'loyal' aaah, ni kawaida tu (hawakwaziki)

  No wonder wasikilizaji wa Clouds fm ni "wengi" sana. I wonder kama Tanzania kuna kipimo kujua idadi ya wasikilizaji kwa wiki (kwa kila Radio Stations na kila kipindi).
  Nakumbukia kilio cha wengi Masoud Kipanya na Fina Mango walipoondoka Power Breakfast.

  Hizo ni style tu za utangazaji.
   
 5. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Mbu nina wasiwasi kuwa wasikilizaji wengi wa hii redio sio wengi kama unavyohisi
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Mimi nilikuwa msikilizaji mzuri wa Clouds. Lakini ikafika sehemu nikagundua kama mambo hayaendi sawa. Kuna watu wanaona wanajua kila kitu wanasahau kama utangazaji ni kazi ambayo inataka umakini nikaacha kabisa kuisikiliza. Siku moja ofisini kuna mtu mmoja naye akatoa comment kuwa hasikilizi tena Clouds maana hawaeleweki.
  Well, loyal listeners wao wengi ni vijana. Ila ili kupata wateja wa namna zote wanatakiwa kuwa makini sana na namna wanavyoendesha vipindi vyao. Wakijisahau watapata ushindi kwa njia ya kuchakachua maana kwa njia halali haitawezekana.
   
 7. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hapo umenena mkuu staili wanayotumia kupata wasikilizaji ni short lived maana inalenga group fulani katika jamii
   
 8. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hao clouds ni wajinga sana,na vipindi ambavyo vinaboa ni viwili,ambavyo ushauri wangu wangepewa wakina dada ndio watangaze,ni power breakfast na jahazi,maaana wanao tangaza sasa hivi ni kama mashoga vile,kazi kucheka cheka pasipo sababu,hasa kibonde na PJ hawa watu wanamatatizo tena makubwa sana.
   
 9. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  CLOUDS IMELENGA KUNDI MOJA SAWA KABISA NA CHADEMA........! CLOUDS INATAMBA MIJINI SAWA KABISA NA CHADEMA......CLOUDS INABOA MAKUNDI MENGINE KATIKA JAMII SAWA KABISA NA CHADEMA....!
  USHAURI WANGU........ clouds na chadema....lisemwalo lipo( kama cuf na udini, chadema na ukabila) mtajitahidi kuukataa ukweli ila unaonekana..... makundi mengine katika jamii pia yawahitaji
   
 10. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Haya tena tuone jinsi gani Clouds wataripoti issue ya wabunge wa CHADEMA kutoka bungeni wakati JK anapoaanza kuhutubia bunge
   
 11. marshal

  marshal JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  I am dissapointed with this Lady.Unajua ukiwa mzee ukajifanya msela utaonekana kama Comedy!Kuwa mtangazaji lazima uwe wewe,don't imitate some one else characters!Niliisave hii clip nilipomaliza tu kuisiliza nimeifutilia mbali haipo hata recycle bin!Hopeless+ None Sense
   
 12. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #12
  Nov 20, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Mtu mzima hovyo..
   
 13. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #13
  Nov 20, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  tatizo ni radio station yenyewe. bora angejirudia tu radio tumaini
   
 14. U

  Uswe JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  zamani tulikua wengi, ingawa ni jambo la aibu lakini ni fact, i can't deny it, hata mie, hapo zamani,nilikuwa mwanachama wao.

  Nashukuru sasa hivi asubuhi naamka na sunrise ya Kipanya na Scolastica, mchana nashinda Job, wakati wa kurudi nasikiliza collection zangu za praise n worship, period! jumapili tu saa nane ndo huwa narudi clouds kusikiliza njia panda
   
 15. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160

  Sugu's perspective anamalizia "wafuuuu"
   
Loading...