willow smith: atembeza 'kichapo' darasani kwa kutumia nywele zake!

minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
64
Willow-Smith.jpg
will-and-willow-smith.jpg
abcsmith1.jpg
willow-smith-will-smith.jpgama kweli mtoto wa nyoka ni nyoka tu. mtoto huyu wa miaka takribani 9 amekuwa selebu si kwa sababu ya baba yake will smith na mama yake jada pinkett; ambao pia ni maselebu.

ni kutokana na wimbo wake huo maarufu ambapo video yake inatesa sasa duniani kote ikiwepo bongo yetu.

ni katika wimbo maarufu wa 'whip my hair' ambao lyrics zake unaweza kuzipata katika post ya 2 kwenye sred hii.

kichapo ninachogusia ni makamuzi ya mtoto huyo yanavyoonekana kwenye video yake.

kuna 'mkono' wa wazazi wake kwenye kazi hiyo?
fuatilia links anuai upate habari kamili.
 
minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
64
Willow Smith - Whip My Hair Lyrics

phone_icon_blue_small_trans.gif
Send

Whip My Hair Lyrics

(chorus)
I whip my hair back and forth
I whip my hair back and forth (just whip it)
I whip my hair back and forth
I whip my hair back and forth (whip it real good)
I whip my hair back and forth x4

Hop up out the bed turn my swag on
Pay no attention to them haters
Because we whip em off
And we ain't doin nothin wrong
So don't tell me nothin
I'm just trying to have fun
So keep the party jumping
So whats up? (yeah)
You know they don't know what to do
we turn our back and whip our hair…
shake em off (x4)

Don't let haters get me off my grind
Whip my hair, if I know I'll be fine
Keep fighting until I get there
When I'm down and I feel like giving up

(chorus x3)
I whip my hair back and forth
I whip my hair back and forth (just whip it)
I whip my hair back and forth
I whip my hair back and forth (whip it real good)
I whip my hair back and forth x4

Imma get more shine in a little bit
soon as I hit the stage
applause I'm hearing it
weather it's black stars,black cars, I'm feeling it

But aint none of them will feel like I do (I)
I get the to them mm-yeah go hard
WILLOW SMITH - WHIP MY HAIR LYRICS
want to see me pull up
I whip it real hard x2
Real hard
I Whip it real hard

Don't let haters get me off my grind
Whip my hair, if I know I'll be fine
Keep fighting until I get there
When I'm down and I feel like giving up

(chorus x2)
I whip my hair back and forth
I whip my hair back and forth (just whip it)
I whip my hair back and forth
I whip my hair back and forth (whip it real good)
I whip my hair back and forth x4

(x2)
All my ladies if you feel it
Gone and do it, do it
Whip your hair (whip your hair)
Don't matter if it's long, short
Do it, do it whip your hair!
Your hair, your hair

(chorus x3)
I whip my hair back and forth
I whip my hair back and forth (just whip it)
I whip my hair back and forth
I whip my hair back and forth (whip it real good)
I whip my hair back and forth x4

Fab

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
762
14
na wambea umetupata kweli...tumekuja macho juu juu...kumbe ni wimbo!LOL
 
minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
64
na wambea umetupata kweli...tumekuja macho juu juu...kumbe ni wimbo!LOL

asante! kichapo ninachogusia ni makamuzi ya mtoto huyo yanavyoonekana kwenye video yake. ukiangalia video yake natumai utanielewa ninachojaribu kumaanisha.
 
Pakawa

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
7,110
11,828
Sipendi chochote katika hii familia. Yes i said SIPENDI CHOCHOTE..Mtoto jeuri utafikiri dunia ya baba yake. Baba majidai utafikiri aliiumba dunia.
 
Julz

Senior Member
Nov 10, 2010
107
18
Sipendi chochote katika hii familia. Yes i said SIPENDI CHOCHOTE..Mtoto jeuri utafikiri dunia ya baba yake. Baba majidai utafikiri aliiumba dunia.

Plz u gotta give him some credit...the guy (Will) is a great actor and most of all agreat father and husband!!
 
minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
64
Plz u gotta give him some credit...the guy (Will) is a great actor and most of all agreat father and husband!!

ni kweli licha ya kuwa staa lakini ndoa yao imedumu; of coz mtoto ni spoiled on ze odh hand.
 
Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Oct 15, 2009
834
146
Sipendi chochote katika hii familia. Yes i said SIPENDI CHOCHOTE..Mtoto jeuri utafikiri dunia ya baba yake. Baba majidai utafikiri aliiumba dunia.

Hehehehehe mtoto hatakuongea ni kama mama yake ambaye ni super hood rat from Baltmore,MD .. u celeb tuu mama yule ni ki mbagala mbagala tuu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom