Hii radio jamaniiiiiii

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,250
2,650
hivi hichi chombo kinacho deal na ethic and code za radio kimekufaa au kiko hai,Radio ya cloud fm[clauzzz]hii radio ina nichafua sanaa watangazajii wamekosaa lugha nzuri kabisaa ya kuongea,leo nilikuwa na skiliza crazz frieday.huyu mchovu alikuwa anaongea upuuzi kabisa,''etii nyokaa mwenyee kipara ana jicho mojaa anataka kutoka....''shame on them.wanaongea to much for so long that why wanakosa cha kusemaa.:evil:
 
Hi radio they are too stupid eti leo Regina Mwalekwa alikuwa anaapa kuwa atakuwa anatoa habari toka Dodoma anaapa kama Raisi au mbunge mweh innovations zingine bwana...
 
Ila naona inapendwa sana na ninyi!! mnaisikiliza sana eeeh!!
 
Hi radio they are too stupid eti leo Regina Mwalekwa alikuwa anaapa kuwa atakuwa anatoa habari toka Dodoma anaapa kama Raisi au mbunge mweh innovations zingine bwana...
Msilete zenu hapa..........ebu muipotezee kama mnavyozipotezea nguo msizozipenda zilizopo madukani.............. UKIONA UNAIKOSOA UJUWE UNAISIKILIZA................
 
ati nini..? nyoka mwenye kipara mwenye jicho moja anataka kutoka..?!!!:doh:
 
Kama sasa ivi ndio utakuta kile kipindi cha kibonde na mr.lady jaydee!!! OVYOO KABISA.
 
two words:
Howard Stern?

One question:
Where does this kind of programming fit in the so called Freedom of Speech?

Final two questions; Is Radio a business in Tanzania? Is this kind of programming a bussiness model ensuring of attracting a certain proportion of the population?

I think we will deal with this issue better if we understand the motives for this type of programming and give ourselves the right to choose what we want to listen to.
 
Acheni kujaza thread za Clouds humu ndani, kama mnakereka na vipindi vyao acheni kuisikiliza!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom