Sikuwahi kumuona tofauti na avatar yake hapa jf!
Nimemfahamu kupitia jf,na nilipojua anagombea ubunge,....to me she was and still is a heroine!
Leo pale mabibo,nilitamani sana kumuona baada ya...
Big Sun Glassses ni fashion lakini kuna za kiume na za kike. Baadhi ya Ma celebrity wetu wanachemsha. Nimeona wengi lakini cheki hawa hapa. Mmoja wa hawa ni chronic zaidi kwa kutojua men's sun...
Following the major protests that have taken place in Libya against embattled leader Muammar Gaddafi, scrutiny has fallen upon several major pop stars who have performed for the dictator and his...
Huwa najiuliza hivi kwa nini wasanii wetu wa muziki hawana mafanikio makubwa kama wenzetu kule kenya na Uganda? Hebu cheki huyu dada wa kule Uganda..
ZARI HASSAN is without doubt the biggest...
Music legend Tony Bennett swapped the stage for Hawaiian sand yesterday(1st March) while on a romantic holiday with his wife.
The 84-year-old basked in the sunshine while relaxing on a lounge...
Kutoka ndani ya moyo wangu, nampongeza sana mwanamama huyu kwa juhudi zake anazozionyesha na hatimaye kupata mafanikio makubwa sana kwa kupitia fani ya muziki wa kizazi kipya! Nadhani tunaweza...
Habari ambazo zimetufikia muda si mrefu uliopita zinapasha kwamba mtanzania wa kwanza kucheza katika ligi ya NBA,Hasheem Thabeet (pichani) aliyekuwa akichezea timu ya Memphis Grizzlies, ameuzwa...
Ni kweli diamond amekutana na BritneySpear? Jamani magazeti ya bongo kwa chunvi.
Angalia tofauti kati ya picha. kwa nini wasiseme ukweli kwamba alipiga picha na sanamu wala siyo Britney? Ngalia...
Wadau, kwa kweli ingawa baba yake huju kijana anaharibu mbaya, lakini mi namkubali sana huyu jamaa.
Nadhani tukiwa na viongozi kama hawa Tanzania ijayo itakuwa nzuri sana. Anaonekana kuwa...
Tuesday, February 22, 2011
FLORIDA, USA Reggae star Buju Banton was found guilty on three charges by a 12-member panel of jurors a short while ago at the United States Sam M Gibbons Federal...
Habari zenu wana JF...
Naomba kwa anayejua matokeo ya Ephraim Kibonde wa Clouds FM anipatie..
Naomba matokeo ya darasa la Saba., Form 4., Form 6 na Chuo Kikuu..
Anawasakama sana waliofeli na wale...
Mtanzania wa kwanza kucheza katika ligi ya NBA,Hasheem Thabeet aliyekuwa akichezea timu ya Memphis Grizzlies, anatarajiwa kwenda timu ya Houston Rockets ya jijini Houston,Texas katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.