Happy birthday Mama Salama Kikwete

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,469
733
attachment.php


Leo ni siku ya kuzaliwa first lady Mama Salama Kikwete hongera sana mama wa kwanza kwa kutimiza miaka.....
 

Attachments

  • 8E9U2321.JPG
    8E9U2321.JPG
    36.6 KB · Views: 433
mbona ana familia kuwa sana..kuna katoto kengine kadogo hakafikii hata urefu wa meza..mwee kumbe raisi ana watoto wadogo bado walio chini ya miaka mitano...hahaa naona na mafulu beki kibao na huyu sijui ndo babu wa familia anahanikiza kwa makofi
 
Naona mkwere age inachapa mwendo kwa spidi ya ajabu, halafu hii bday clouds hawakuhusika eheee?????? lol!!!!!!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom