Nani mmiliki wa maduka makubwa ya Mariedo hapa Mjini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani mmiliki wa maduka makubwa ya Mariedo hapa Mjini?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by kapuchi, Nov 26, 2010.

 1. k

  kapuchi Senior Member

  #1
  Nov 26, 2010
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 167
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wadau wa JF,

  Napenda kufahamu ni nani anamiliki Maduka makubwa ya Mariedo hapa Mjini.Kuna mtu ameniambia ni Edward Amri,nikamwambia hapana mbona huyu ni Pastor na ana kanisa lake na huwa anhubiri praise power neno la mungu. mwenye kujua ukweli anisaidie
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  what is your motive?
   
 3. k

  kapuchi Senior Member

  #3
  Nov 26, 2010
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 167
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  je pastor Edward Amri annointed God ndiye anayemiliki maduka hayo,? kwa sababu ni mfano mzuri wa kuigwa.that you can be a Great man of God and at the same time owning big bussiness. Watu wengi huwa wanafikiri ulokole ni kuwa maskini tu! hapan Mungu anataka watu wanaomwamini wawe na mali pia!
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Biashara na dini huoni kuna conflict of interests apo?
   
 5. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2010
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  esaah
   
 6. m

  mams JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2010
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  So long ni mtanzania na analipa kodi, haina shida
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  naona betri walizokuwekea kichwani zimeisha muda wake. wahi wakakubadilishie kabla hujaanza ajira ya kuokota makopo
   
 8. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #8
  Nov 30, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Eeehhh!
   
 9. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kivip?
   
 10. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #10
  Nov 30, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  I
  Mie sioni conflict of interest hapo, kwakuwa dini yenyewe siku hizi imekuwa biashara? Neno la Mungu linauzwa kupitia sadaka na mafungu ya kumi, waumin wenye kipato ndio wenye kuheshimika makanisani hata wanapewa viti vya mbele.

  Dini = Biashara = Siasa

  Ndio maana unaweza kuona mtu kama Mama Lwakatare anafanya vyote hivyo nilivyovitaja bila wasiwasi kwakuwa ni kitu kilekile chenye majina tofauti.

  NDIO MAANA NAIPENDA TANZANIA, KILA KITU KINAWEZEKANA!
   
 11. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #11
  Nov 30, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,561
  Likes Received: 18,291
  Trophy Points: 280
  kapuchi, mmiliki wa chain ya maduka ya Marriedo anaitwa Maria, ni mke wa hao wakina Amri Brothers wanaomiliki chain ya maduka ya Oriental yenye makao yake makuu hapo hapo IPS.

  Hivyo chain hiyo ya maduka inamilikiwa na mke wa kaka mkubwa, huku kaka mdogo anaitwa Dick Amri, naye mkewe anaitwa Mwasu, anamiliki chain ya maduka ya Mwasu Fashions yaliyotapakaa kote kama yalivyo maduka ya Mariedo na mdogo wake Maria naye anamiliki chain ya maduka ya urembo nimelisahau jina, ila ndio chain ya maduka makubwa kabisa ya urembo kuliko duka lolote jingine Tanzania.

  Familia zote mbili ni zimefanikiwa sana kibiashara, haswa quality ya nguo zao ni za ukweli, ukikuta zile brand names, ni za ukweli toka Italy achilia hizi za China, tatizo ni bei tuu!.
   
 12. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #12
  Nov 30, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mh!jamani hii si ni kutaka kuchimba maisha ya watu!!
   
 13. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #13
  Nov 30, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Not sure. Ila nii ya Dada moja ambaye wengi wanamwita Mariedo.

  Na ameshawahi ku-sponsor mavazi BSS.
   
 14. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #14
  Nov 30, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Marriedo wana vitu original - tatizo unaweza kwenda kwenye ATM ukadraw pesa mara mbili na bado utaondoka sana sana na suruali na kiatu tu!
   
 15. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  huyu ni member humu
   
 16. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #16
  Dec 4, 2010
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Asante kwa taarifa!
  Nawakubali sana hawa (MARIEDO & MWASU FASHIONS) wanajitahidi kibiashara, wana wateja lukuki (hasa kina-mama)! Nimekuwa mteja wao kwa miaka mi-5 sasa, ILA WAMEANZA KUCHAKACHUA SASA!!

  UJANJA! Nawasifu kibiasahara kwa kuwa hawa jamaa wanafanya timings sana; wanenda ulaya na marekani (hasa nyakati za holiday seasons kama easter/xmas etc)..wanashop kwenye big stores in Europe/China/USA etc kipindi cha DISCOUNT...tena kwa wholesale price!...wakifika BONGO wanauza kwa bei ya juu sana (huu ni ubunifu, hatutembei kufahamu bei halisi). Kilichonikera ni majuzi tu nilipogundua kuwa sasa wameanza KUCHAKACHUA MAVAZI!!

  KIVIPI??
  Kuna jamaa wanafanya biashara ya MITUMBA, ile ya 1st GRADE; hawa MARIEDO NA MWASU, wananunua hizi nguo za mitumba ambazo ni kali kwa bei ya juu sana (say gauni kwa 50,000/=), wanapeleka dry cleaners, likiletwa dukani kwao hulupati bila ya 120,000/=!! Kwa kuwa hizi nguo zinakuwa quality ya juu sana hutwaweza kutofautisha!! Kuna mtu wangu yupo Arusha, yeye anafanya biashara ya kuleta makontena ya nguo za mitumba, ana-supply kwa hao watu kila siku mzigo ukiingia....once kontena likishuka, nguo haziuzwi hadi achague kali na kuwapelekea wateja wake wakuu!! (Mwasu, Mariedo etc)

  Kwa wateja wa haya maduka, kuweni makini tu mkifika pale! Usinunue mbuzi kwa gunia....
   
 17. B

  Brandon JF-Expert Member

  #17
  Dec 4, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 336
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Bwegebwege,are u kidding or? Am shocked. Eti wanachakachua! Bongo banaaa..... Mbona wanajihariharibia.
   
 18. K

  Katibu Tarafa JF-Expert Member

  #18
  Dec 7, 2010
  Joined: Feb 16, 2007
  Messages: 980
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  wabongo kwa kutunga hamjambo.
   
 19. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #19
  Dec 7, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  mweeh,nilitaka sema kirapu nikajistukia.inawezekana kweli thibitisha b.we.ge. x 2.
   
Loading...