Familia ya raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania

kiraia

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
1,715
2,000
Ndugu wana JF

Kwa wale ambao wameshuhudia chaguzi za nchi mabalimbali, tumekuwa tukioneshwa familia za viongozi wa nchi husika ikiwemo watoto na pia wake zao kama yuko zaidi ya mmoja mfano Zuma wa S. Africa, barack Obama USA na wengineo. Je Familia ya Raisi wa JMT ina watoto wangapi? na pia ina wake wangapi kama yupo zaidi ya mmoja.

Regards,
Kiraia
 
Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
7,785
2,000
What I need to know is only the nuclear family

ukijua kuwa ana wake zaidi ya huyo anayejulikana plus network of concubines na wake za watu and many children si utazimia?
that's why is classfied top secret, no need to know.
 
Mabel

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
1,219
2,000
Ndugu wana JF

Kwa wale ambao wameshuhudia chaguzi za nchi mabalimbali, tumekuwa tukioneshwa familia za viongozi wa nchi husika ikiwemo watoto na pia wake zao kama yuko zaidi ya mmoja mfano Zuma wa S. Africa, barack Obama USA na wengineo. Je Familia ya Raisi wa JMT ina watoto wangapi? na pia ina wake wangapi kama yupo zaidi ya mmoja.

Regards,
Kiraia

Bora asitaje maana unaweza kuta mtandao unaingia hadi kwenye mapito yako halafu likawa balaa.
Huyu mjomba hafai hata kidogo muone hivihivi tu.
 
kiraia

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
1,715
2,000
Bora asitaje maana unaweza kuta mtandao unaingia hadi kwenye mapito yako halafu likawa balaa.
Huyu mjomba hafai hata kidogo muone hivihivi tu.

uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hivi ni kweli?
 
Nicky82

JF-Expert Member
Mar 14, 2009
941
195
Mkuu maadamu Tanzania hatuna sheria ya kudhibiti idadi ya watoto wa kuzaa, basi tumtendee haki kwa kutojadili idadi ya wake au watoto alio nao maana hajavunja sheria yoyote.

Maana kwa watumishi wa umma, malipo ya likizo, bima ya afya na n.k huwa ni kwa watoto wanne walio chini ya miaka 18. Naamini mkulu kama walivyo watumishi wote wa umma hii sheria itaaply hata kwake, kwa hiyo kama wApo zaidi ya hapo bika shaka hizo gharama huwa analipa mwenyewe.
 
mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,190
2,000
noma noma usiulize jamani haya mambo makubwa ati, walishasema yangoswemuachie ngoswe mwenyewe
 
Chifunanga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
290
0
jamani mbona tunapenda kukuza mambo?....sasa kujua familia ya kiongozi wetu ni issue?....kila kitu ni siri "nyeti" kwenye nchi hii....sijui nini ndio sio siri....inachosha!
 
Newvision

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
446
0
Shida Chifu... siyo kwamba ni siri ila aibu itafuatia kwani the size of this family haijulikani kwani ni kubwa mno iringa, Dar, Bwagamoyo, Zanzibar etc etc.
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,523
2,000
ukijua kuwa ana wake zaidi ya huyo anayejulikana plus network of concubines na wake za watu and many children si utazimia?
that's why is classfied top secret, no need to know.

wake 6 ..mi cuncubine ya kumwaga na mitoto lukuki ..mpaka mwananyamala ipo...usiniulize source ntpigwa BAN bure
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,523
2,000
Shida Chifu... siyo kwamba ni siri ila aibu itafuatia kwani the size of this family haijulikani kwani ni kubwa mno iringa, Dar, Bwagamoyo, Zanzibar etc etc.

DAR --- inanyambulik akwa vitongoji ukianza na mwananyamala,sinza ...hahaaa rais tunaye..ngoja siku akifa tutajua tu wanaposema watoto wa marehemu washike chepeo utaona timu ya mpira wa miguu inavyotiririka
 
BABA JUNJO

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
241
0
Watu mnapenda shari tu kama issue ina utata na haina maslahi kwa taifa kwanini kuishupalia?
 
Edward Teller

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
3,893
2,000
jamani mbona tunapenda kukuza mambo?....sasa kujua familia ya kiongozi wetu ni issue?....kila kitu ni siri "nyeti" kwenye nchi hii....sijui nini ndio sio siri....inachosha!
tatizo hii nchi yetu ni ya ajabu sana-mambo madogo inayakukuza sana-swala la kujua familia ya rais linakuwa gumu sana-yani linaonekana kuwa ni confidential-wakati ni swal la kawida,ndo mana hata details za familia ya rais wetu inkuwa ngumu kuzpata-kila mtu anasema,lake ajuavyo yeye
ila nazani wanaficha hivyo sababu wana reaosons zao-nyingi ni kuogopa kuchafuka
 
Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,622
2,000
Ndugu wana JF

Kwa wale ambao wameshuhudia chaguzi za nchi mabalimbali, tumekuwa tukioneshwa familia za viongozi wa nchi husika ikiwemo watoto na pia wake zao kama yuko zaidi ya mmoja mfano Zuma wa S. Africa, barack Obama USA na wengineo. Je Familia ya Raisi wa JMT ina watoto wangapi? na pia ina wake wangapi kama yupo zaidi ya mmoja.

Regards,
Kiraia

Niwapi ulishawahi kuona hata picha ya Baba na Mama yake na JK?:teeth:
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom