Who are these Bongo Icons???

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,469
733
42.JPG
 
vik.jpg

Huyo wa kulia nadhani anafanana na huyu mheshimiwa mbunge wa viti maalumu au nimekosea????????


Jamani, jinsi huu mzigo ulivyo, hata mie ningekuwa na mamlaka ningemgawia ubunge wa bure, hei, uuuhwii! Hiki si kishawishi jamani?
 
vik.jpg

Huyo wa kulia nadhani anafanana na huyu mheshimiwa mbunge wa viti maalumu au nimekosea????????

Mkuu Valid_Options asante sana kwa pichi nzuri ya mheshimiwa Vick Kamata, nakupa 'big up' , hivi bado anaimba???
tuletee na nyingine na za wengine pia
 
Mkuu Valid_Options asante sana kwa pichi nzuri ya mheshimiwa Vick Kamata, nakupa 'big up' , hivi bado anaimba???
tuletee na nyingine na za wengine pia
Kwa kweli weekend yangu ileenda swaaafi sana baada ya kuona hii picha VO nimekupa thanks
 
Acha tamaa wewe mamlaka si mchezo!
Uongozi sio ivyo inamaana mbona jamaa
wa jembe na nyundo hawakumfanya
kuwa RI-spika! inamaana si kigezo kwao
kama ulivyo kwako wewe! anyway nakusamehe
coz kila mtu anatafsiri tofauti kwa mambo tofauti
lakini si kwa MASLAHI YA TAIFA! umenisoma wewe!
 
Mchukue mkeo.
Mpige soap-soap.
Mvalishe hivi vijiguo vya utatanishi.
Mpeleke Photo Point.
Picha kacha!!!
....hutamwangalia tena huyu uliyembandika hapo juu wala wengine wa aina yake!!

Maanake.........mwanamke yeyote akijiswafi, kujipodoa na kuji-expose maungo yake utamuona anavutia tu!
 
Si vidosho vya mkwere!!!!! ndio icon sasa. Mmmmmh vilikuja na VIKUKU bungeni dom,jaaaaaaaaaaaaaaaamani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom