TAMKO RASMI
AM VERY HAPPY sababu NIMETHUBUTU kitu ambacho watu wengi wanakihofia na hiyo ni alama na dalili nzuri sana kwangu, siku zote naamini kwamba UTHUBUTU ni ALAMA YA UJASIRI na...
South Africa
Winnie Mandela to get her own opera
Winnie Madikizela-Mandela, the former wife of Nelson Mandela and South Africa's 'mother of the nation' is to...
Pipi aka Doreen mdogo wangu hii video ulikurupuka saana kuanzia pozi,make ups, mavazi, shooting kuimba yaani kila kitu hakipo mwake. Sema mwamnzo mgumu next time usiwe mbahili tafuta studio ya...
Wana jukwaa, hivi yule msanii nguri wa kundi la vichekesho la Mizengwe lenye kuonekana ITV yupo wapi maana haonekani siku hizi!! Na ana dili gani?? Anaejua atujulishe wajameni
Wadau kuna taarifa kwamba Ridhwani ametoa Notice ya kuacha kazi IMMA advacates baada ya kusemewa mbovu na Magai, je taarifa hizi ni za kweli? mwenye kujua zaidi atujuze tafadhali
Jamani wanajamii kumekuwa na wimbi la waandishi wa habari hasa wale wa TV na REDIO kuhama kutoka chombo kimoja cha habari kwenda kingine, hii inaashiria nini?
Sioni ubaya wa wananchi wa Tanga kumpa ubunge mganga maarufu wa kienyeji maji marefu. Inaonekana wamechoshwa na mafisadi wasomi ndio maana wameamua kuchagua mganga wa kienyeji awawakilishe...
Jamani huyu mzee nimesikia tetesi anakuja na tv show yake kuonyesha yote aliyotabiri na yametokea, hivyo atawaproovia watz kuwa yeye ni mwanzo na mwisho wa UTABIRI kupitia TV show yake...kaeni...
Naangalia ze origino comedy TBC1 ila natiwa kichefuchefu na jinsi msanii wa kiume alivyouvaa wasifu wa kike! Amefanikiwa lengo kuwa aonekane mwanamke, tena mrembo! Lakini hii maana yake nini kwa...
Habari nilizozisoma toka kwenye gazeti la kiu la wiki iliyopita ni kuwa mwigizaji Tino alizimia wakati akisubiri majibu yake alipokwenda kupima UKIMWI katika kituo cha ANGAZA Magomeni.Taarifa...
Wakati mwaka 2010 unaelekea ukingoni, sio mbaya tukawakumbuka baadhi ya ndugu zetu (maarufu) waliotutangulia kwa mwaka huu. RIP.
-
Mzee Pwagu - Aliyekuwa mwigizaji wa Kundi la Kaole.
Nico...
Considering Kanye West's checkered past year with MTV, it seems unfit that the opinionated hip-hop genius would top any list complied by the media outlet. But in all honesty, West's crowning as...
habari za kuaminika nimezipata kua aliyekua mwanamziki wa siku nyingi Bwana Abou semhando amefariki leo asubuhi kwa ajali ya pikipiki.
pumzka mahala pema peponi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.