hivi JOTI wa zecomedi ni mwanaume?

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Jul 28, 2008
2,502
739
hivi joti ni mwanaume kweli? au ndo hivyo tena kama wanavyosema mitaani wengi....jamani kwa wale ambao wako karibu naye, hivi tupeni story, manake kuna uvumi kuwa si riziki. kwa upande wangu, nilivyomwangalia jinsi anavyoigiza, nikaona hakika hata kama angekuwa riziki, ile kuigiza anaweza kuwa ameingiliwa na mapepo ya kutokuwa riziki...hivi mlishawai kumwona hata na mdada tu ameongozana naye auuuuu, vipi?

orijino comedi ni agent wa ccm na shetani. kitendo chao cha mwanaume kuigiza kama mwanamke hata mimi kinanikera kupita kiasi. wale wa FUTUHI wa star tv mbona wanaigiza safi tu? wao wananini? na wako sambamba na shehe yahya....msaidieni joti jamani nyie mlio kairbu naye....
 
Ninachofahamu mimi, kwa sababu Mkwere nae ni mwigizaji/Msanii basi wanamwita JOTI pia.
Mtaani kwetu hawataji Kikwete, ukisikia JOTI ujue wanamaanisha kikwete.
 
Waku hata mimi uigizaji wa Joti unanitia majaribuni siku moja mwanangu wa kiume anasoma darasa la tatu alijaribu kuigiza kama Joti nakwambia alikula kibao cha kisawasawa mama yake akanikasirikia sana nikamwambia pengine haoni hatari iliyo mbele ya mtoto wake.

Nimepiga marufuku vipindi vya Zekomedi nyumbani kwangu kuepuka watoto kunasa upuuzi wa TBC1.
 
kile ni kipaji adimu mkuu...! NDO MAANA WANAITWA WAIGIZAJI...!!

kama vile mtu safi anaweza akaigiza kama jambazi lenye roho mbaya ...lakini in reality he is not..! ITS NO BIG DEAL..!
 
Heshima kwako Silent Whisper,

Mkuu nakubaliana na hoja yako lakini zekomedi kwanini hawatafuti wasichana waigize sehemu ya wanawake.Unajua kupitia Joti Tanzania inaweza kuzalisha mashoga kibao jamaa anafanya kazi ya shetani kabisa.Nimeangalia filamu na komedi nyingi sana za majuu mwanaume akiigiza sehemu ya mwanamke zinakuwepo sababu za msingi huku kwetu kina Joti wanabinua midomo na kupepesa macho tunashangilia badala ya kuwatandika viboko siku ukikutana na mwanao anajishebedua utaoana kawaida kumbe mambo yameshaharibika.
 
Napenda uigizaji wake ile kuigiza mwanamke kunaniuzi kweli!
 
hivi joti ni mwanaume kweli? au ndo hivyo tena kama wanavyosema mitaani wengi....jamani kwa wale ambao wako karibu naye, hivi tupeni story, manake kuna uvumi kuwa si riziki. kwa upande wangu, nilivyomwangalia jinsi anavyoigiza, nikaona hakika hata kama angekuwa riziki, ile kuigiza anaweza kuwa ameingiliwa na mapepo ya kutokuwa riziki...hivi mlishawai kumwona hata na mdada tu ameongozana naye auuuuu, vipi?

orijino comedi ni agent wa ccm na shetani. kitendo chao cha mwanaume kuigiza kama mwanamke hata mimi kinanikera kupita kiasi. wale wa FUTUHI wa star tv mbona wanaigiza safi tu? wao wananini? na wako sambamba na shehe yahya....msaidieni joti jamani nyie mlio kairbu naye....
Hii inaonyesha jinsi ambavyo anavaa uhusika wa nafasi yake anazoigiza..................... HIVI UNADHANI WALE WANAOIGIZA UJAMBAZI......... NI MAJAMBAZI KWELI.........???? AU TUSEMEM MNAUMIA TABIA ZENU ZIKIIGIZWA..........????
 
jamani waulizeni wateja wa kila siku ya baa ya Ashura Macheni watawapa stori kwanini JOTI ghafla anapenda kuigiza kama DEM...alicheza na vijana wa TEMEKE
 
Ithink anavaa uhusika tu, na ndivyo muigizaji anapaswa kuwa ili kuleta picha halisi ya kile unachotaka kukiwakilisha kwa hadhira.
 
uhusiano wa kina joti na yule jamaa manji aliyewapa magari ni wa kuhoji. hata kama ni uighizaji ya nini kupendelea kuigiza design moja tu? wazazi tuwe makini maana ni mkakati wa kutufanya tuone ushoga ni swala la kawaida tu ktk jamii yetu ya k tz.
 
Haina shida wasi wasi wenut tu. Joti siyo wa kwanza kuigiza hivyo. na kwa taarifa yako lile kundi likiingiza wanawake mule wanakufa . Nawapa bigup sana, na waendelee kwa kujinafasi.

Wenzenu wanapata ugali wa kila siku.
 
3.jpg
 
Last edited by a moderator:
hahahaha hahaha
joti ni msanii mwenzangu. ila mie ni mtalaam wa anatomy. nikiangalia mdomo wake nahisi kuna vitu oversize vinapitia mdomoni hapo au ameulegeza ili uonekane wa haiba ya kike. Angalia taya zake anavyoongea utaona ziko kama zimewekewa spring zisivutike zaidi.

Anaigiza vyema ila anapitiliza kwenye ukike mpaka inatia aibu.

Mimi nimeiweka TBC1 PG yaani parental guide kwa sababu ya kipindi hichi tu
 
mbaya zaidi watoto ndo wanakipenda mpaka basi.yeye ndo anayeujua ukweli lkn mmh inatia shaka
 
hivi joti ni mwanaume kweli? au ndo hivyo tena kama wanavyosema mitaani wengi....jamani kwa wale ambao wako karibu naye, hivi tupeni story, manake kuna uvumi kuwa si riziki. kwa upande wangu, nilivyomwangalia jinsi anavyoigiza, nikaona hakika hata kama angekuwa riziki, ile kuigiza anaweza kuwa ameingiliwa na mapepo ya kutokuwa riziki...hivi mlishawai kumwona hata na mdada tu ameongozana naye auuuuu, vipi?

orijino comedi ni agent wa ccm na shetani. kitendo chao cha mwanaume kuigiza kama mwanamke hata mimi kinanikera kupita kiasi. wale wa FUTUHI wa star tv mbona wanaigiza safi tu? wao wananini? na wako sambamba na shehe yahya....msaidieni joti jamani nyie mlio kairbu naye....

ndio maana tuko nyuma wenye kila kitu,hata hili nalo mnalijadili ungeenda kumjaribu na ungekuja hapa na jibu zuri tu
 
mimi nahisi anaigiza tu,mbona akiigiza kama babu mzee anaweza?part nyingi anazoigiza anaziwezea
 
Acha kuangalia hicho kipindi(period) . Mbona filamu za uchawi na za kijambazi unaruhusu watoto wako wanaangalia?au ni sawa kujifunza ujambazi? Acha vijana wawaburudishe mashabiki wao
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom