Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Msechu 'kachakachuliwa' Tusker Project? na Andrew Chale KILE kitendawili cha atakayenyakua taji la Tusker Project Fame 2010...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau wa JF, Napenda kufahamu ni nani anamiliki Maduka makubwa ya Mariedo hapa Mjini.Kuna mtu ameniambia ni Edward Amri,nikamwambia hapana mbona huyu ni Pastor na ana kanisa lake na huwa...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
BIG UP BR KULA SHAFU HINT WANAKUJA SOON NTAKUNGANISHIA MUNGU AMUWACHI MJA WAKE SI KAMA WALE MA MAMC WANAMTUKUZA MUNGU HUKU WANAFANYA UFIRAUNI USIWE NAO HATA NA URAFIKI.,,,NDIO MAANA WANATIMULIWA...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nicki Minaj alianza hivi: Roman's Revenge Lyrics I am not Jasmine, I’m Aladdin So far ahead, these bums is laggin’ See me in that new thing, bums is gaggin’ I’m startin’ to feel like a...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ningependa kumfahamu kwa sura jamani.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Leo ni siku ya kuzaliwa first lady Mama Salama Kikwete hongera sana mama wa kwanza kwa kutimiza miaka.....
0 Reactions
40 Replies
13K Views
DR.Theresa Hovisa, huyo kigogo ni marehemu ali malima
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Page last updated at 16:36 GMT, Friday, 3 December 2010 Two people are being investigated by police in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi napata kigugumizi juu ya mwenendo wa wasanii wetu,inakuwaje shindano linaanza watu wanajipanga kila siku wanacheza na jasho linawatoka,tena ukiangalia wengi wao ni maarufu sana TZ. Inamaana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ama kweli mtoto wa nyoka ni nyoka tu. mtoto huyu wa miaka takribani 9 amekuwa selebu si kwa sababu ya baba yake will smith na mama yake jada pinkett; ambao pia ni maselebu. ni kutokana na...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
JF Stats Top 10 Posters 1 Mzee Mwanakijiji 21,349 2 Nyani Ngabu 19,836 3 Bubu Ataka Kusema 14,101...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
Leo ni siku ya ukimwi duniani na kama kijana ambaye pia niko katika kundi ambalo liko hatarini kwenye maambukizo ya gonjwa hili hatari, naona ni busara kugusia na kutoa hamasa kupitia jumbe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mzee Muhidini Maalim Gurumo ni mgonjwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Wodi ya Mwaisela,wodi No.5.Mzee Gurumo ni mmoja wa wakongwe wa Muziki alianza Muziki mwaka 1960 akiwa na Bendi...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Ndugu wana JF Kwa wale ambao wameshuhudia chaguzi za nchi mabalimbali, tumekuwa tukioneshwa familia za viongozi wa nchi husika ikiwemo watoto na pia wake zao kama yuko zaidi ya mmoja mfano Zuma...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Wakuu, Hivi ina maana SUGU na Ruge wa biff kubwa kiasi hiki!!! Nimesikia album ya SUGU inayoitwa "anti-virus" na inayopatikana on-line bure ni balaa!! Maana SUGU anatukana live na kuelelza...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu jana nimebahatika kumsikiliza ripota maalumu wa redio ya watu mwanamama Regina Mwalekwa akiripoti habari za bungeni kwa kweli kama walimtoa ITV/Rado1 katika "dirisha dogo la usajili" kuja...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
hivi hichi chombo kinacho deal na ethic and code za radio kimekufaa au kiko hai,Radio ya cloud fm[clauzzz]hii radio ina nichafua sanaa watangazajii wamekosaa lugha nzuri kabisaa ya kuongea,leo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
hivi joti ni mwanaume kweli? au ndo hivyo tena kama wanavyosema mitaani wengi....jamani kwa wale ambao wako karibu naye, hivi tupeni story, manake kuna uvumi kuwa si riziki. kwa upande wangu...
0 Reactions
54 Replies
15K Views
Back
Top Bottom