1644706992727.png
 
Baada ya kusoma habari(heading (katika gazeti moja kuwa mkewe kasema mumewe aachwee apumzike, nimeanza kupata hisia huenda atakuwa amepelekwa nchi moja ya Ulaya au Marekani akatulie kuondoa streets, kukwepa waandishi na pia kujiweka sawa kisakkolojia.

Sijasoma ndani lakini kwa jibu hilo kwa mwandishi wa gazeti, ni wazi Job yuko mahali salama, ila probabilblly nje ya nchi kwa baraka za wakubwa na huenda alipoitwa Magogoni hii ilikuwa ni moja ya agenda (aende wapi au aishi vipi kwa kipindi hiki).

Kama alikataa kuuza utu wake, basi atakuwa tu nyumbani kwake hatoki nje ya geti na hata kusali haenda.

Kazi sana!
Kumbuka kilichompata Mwinyi miaka ile alipojaribu kumtunishia misuli mchonga meno
 
Ndugai yupo kwake Na kapumzika tu ila Sisi wapinzani tunaoona kila jambo ni agenda tunavamia! Na CCM watampa Majukumu soon tunaosema tuko CCM ndani acha habari za Wabrash Viatu vijiweni
CCM ya mdomoni au hii ccm ya wa Zanzibar?

CCM ya wasukuma yamebaki masalia kidogo sana
 
Kusema mwacheni apumzike ni kauli ya kawaida, kuwa waandishi wamuache apumzike kwa maana wasimbughudhi kwa kumfuatafuata kila mara. Sasa nashangaa wewe mleta mada tayari umeshampeleka Ulaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom