Wu-Ma
Senior Member
- Dec 1, 2017
- 113
- 277
Job Ndugai alitoa sintofahamu yake kuhusu mkopo na tozo Kwa pamoja Kwa ajili ya utatuzi wa Jambo Hilo Hilo moja kinyume na mpango kazi wa awali, ambao ulibainisha tozo ndio zibebe huo mzigo badala ya kukopa kopa.
Alikuwa sahihi kabisa kikatiba, hata hvyo hoja yake imeleta matokeo ya kushangaza Sana, baada ya hapo series of negativity from high command imemuandama, kusutwa hadharani na mheshimiwa Rais, kutishiwa wazi na viongozi wakuu wa chama na vibaraka, vitisho hivyo vikiambatana na kejeli na dharau...!! Huku akishinikizwa kujiudhulu.
Ghafla bin vuu , ikatolewa taarifa ya kujihudhuru Kwa mheshimiwa Job ndugai , bila kupoteza mda katibu wa CCM akatangaza kupokea barua ya kujihudhuru uspika toka Kwa mheshimiwa Job Ndungai, na katibu wa Bunge akatoa taarifa kupokea barua ya kujihudhuru uspika ya mheshimiwa Job ndugai tokea Kwa katibu mkuu wa CCM,
Maswali yamekuwa mengi kuhusu hyo barua na pia ukimya wa aliyekuwa spika , Kwa nini barua itokee Kwa katibu wa chama kwenda Kwa katibu wa Bunge badala ya kutokea Kwa spika mwenyewe kwenda Kwa katibu wa Bunge kama katiba inavyoelekeza .....?
Katibu wa CCM , na mwenyekiti wa CCM pamoja na baadh ya wakereketwa wakuu wa chama , ndo waliomsuta Ndugai , kumzomea , kumkejeli na kila Aina ya dharau , huku wakidai hafai , aachie ngazi la sivyo atatolewa Kwa nguvu ....
Ni Jambo la kushangaza watu hao ndo waliotoa taarifa ya kujihudhuru na kinyume kabisa na katiba barua ya kujihudhuru inatokea kwao kwenda Kwa katibu wa Bunge..!! Tutembee na taarifa ya kujihudhuru Kwa Ndungai , huku tikisubir uchaguzi wa spika mpya , hata hvyo ukimya wa Job ndugai kuiweka Sawa hii sintofahamu inatia Shaka na kuibua maswali kuhusu hii barua...!! Au alilazimishwa , au kiwewe au ni mchongo , au alishikiwa bunduki , ....