Brigedia Gen
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 1,045
- 2,277
Vifaru vinne ndiyo mrundikano
Tuli kuwa tunaliswa matango pori kuwa vufaru vya Israel havipigiki ,na hapo Hamas wanatumia Ant_tank walizo jitengenezea wenyewe kienyeji hivyo hazina nguvu sana na zina hitaji kulenga target kwa ukaribu wa mita mia tu, hivyo kuwaweka hatarini ya kuuawa kwa walengaji wa shabaha.Kumekua na mrundikano wa vifaru na magari mengi ya Israel yaliyokutana na kipigo (ambush) katika jiji la Gaza..
Israeli vehicles destroyed in Gaza ambush - local mediaView attachment 2812926
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.(Yohana 14:6).Kafiri ukifa bado ni mkiristo ni motoni. Hili neno nitalirudia . Wengi wananifata inbox ili niwaeleze kiundani. Washashtuka
Agano jipya hilo itakuwa la mabiboYesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.(Yohana 14:6).
Uwezo wako wakuona ndio umeisha hapoVifaru vinne ndiyo mrundikano
Kama si muislam ni hasara. Hakuna upagan hakuna niniKila mtu aende sehemu inayomuhusu tusipangiane,
wengine ni born again pagan hapa utawaweka wapi?
Hakuna njia ya kwenda mbinguni bila kristo na huko uliko uko upande wa mpinga kristo.kwanini umefumbwa kiasi hiki hata hutaki kuelewa?.usije ukasema hujaambiwa
Ndio hawana sasa! 😁Hamas wange kuwa na ant tank za kisasa na zenye nguvu kama walizo nazo Hizbulah tunge shuhudia kiama cha vufaru vya Israel ndani ya gaza.
Katika Walawi 11:7-8, “Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi, kwenu, msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.”[4]Hakuna njia ya kwenda mbinguni bila kristo na huko uliko uko upande wa mpinga kristo.kwanini umefumbwa kiasi hiki hata hutaki kuelewa?.
Ndo ujue jeshi la Israel ni nyanya sana kuwa pamoja na kupigana na wapiganaji wanao tumia silaha za kienyeji bado ameshindwa kuwashinda alafu unajiita jeshi bora dunianiNdio hawana sasa!
Vita ni pamoja na silaha, kama hauna silaha maana yake hauna uwezo, unatakiwa usalimu tu amri
Unataka kusemaje kwani?,mfuate kristo upate amani huko uliko hutakuja kupata amani kamwe,amani ya kweli ipo kwa kristo,shtuka wewe.Katika Walawi 11:7-8, “Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi, kwenu, msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.”[4]