LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Kumekua na mrundikano wa vifaru na magari mengi ya Israel yaliyokutana na kipigo (ambush) katika jiji la Gaza..

Israeli vehicles destroyed in Gaza ambush - local mediaView attachment 2812926
Tuli kuwa tunaliswa matango pori kuwa vufaru vya Israel havipigiki ,na hapo Hamas wanatumia Ant_tank walizo jitengenezea wenyewe kienyeji hivyo hazina nguvu sana na zina hitaji kulenga target kwa ukaribu wa mita mia tu, hivyo kuwaweka hatarini ya kuuawa kwa walengaji wa shabaha.

Hamas wange kuwa na ant tank za kisasa na zenye nguvu kama walizo nazo Hizbulah tunge shuhudia kiama cha vufaru vya Israel ndani ya gaza.
 
Uko na vita, halafu eti usiue hata mwanajeshi mmoja, usiharibu hata kifaa chochote cha adui yako, hata kama adui huyo ananguvu za aina gani, yasipotokea hayo! Basi hao wapiganaji ulio nao ni mambuzi yote

Wamepiga hizo silaha sawa kabisa! Ila ki ukweli hiyo nchi imesambaratishwa na magaidi yanakufa kama senene!
 
Hamas wange kuwa na ant tank za kisasa na zenye nguvu kama walizo nazo Hizbulah tunge shuhudia kiama cha vufaru vya Israel ndani ya gaza.
Ndio hawana sasa! 😁
Vita ni pamoja na silaha, kama hauna silaha maana yake hauna uwezo, unatakiwa usalimu tu amri
 
Hakuna njia ya kwenda mbinguni bila kristo na huko uliko uko upande wa mpinga kristo.kwanini umefumbwa kiasi hiki hata hutaki kuelewa?.
Katika Walawi 11:7-8, “Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi, kwenu, msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.”[4]
 
Kumbe wanachezea kipigo ila hawasemi!
IMG_20231113_211222.jpg
 
Back
Top Bottom