Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 10,124
- 19,718
Utabadili Hadi kalio mbuzi wa magengeni weweNimebadili gia angani.Hutaki acha utabaki wewe Popoma
Utabadili Hadi kalio mbuzi wa magengeni weweNimebadili gia angani.Hutaki acha utabaki wewe Popoma
Amejenga flyover ubungo, HEP Rufiji, barabara za lami, ikulu ndogo chatoHivi ni hoja gani ya kueleweka kwa wananchi wanyonge ambayo magufuli amefanya miaka mitano?
Elimu elimu elimu..... Kimsingi ccm hawataki watz wapate elimu bora ili kuendelea kuwagawia t-shirt za ccm kila baada ya miaka 5Naumizwaga sana na hii kitu mkuu!
Yaani wazee, walevi, vibaka, choka mbaya woooote ndo wavaa jezi za ccm tangu kampeni mpaka miaka yote mi5 ya kutawaliwa, wao wapogo tu ndani ya mboga mboga doh!!
Sasa ni chuma halisi ambacho ni mpango wa Mungu.......Nao hawa tabia ya kuhama hama mnamchagua mtu baadaye anahama chama jamani si dharau kabisa kwa wapiga kura japo mie sina chama kambi popote.
Haya yetu machoSasa ni chuma halisi ambacho ni mpango wa Mungu.......
Kunaenda kupasua jiwe kwa mikono
Karibuuu...Haya yetu macho
3. Dkt. Mayrose Majinge kura 1