Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Hivi ni hoja gani ya kueleweka kwa wananchi wanyonge ambayo magufuli amefanya miaka mitano?
Amejenga flyover ubungo, HEP Rufiji, barabara za lami, ikulu ndogo chato
Kanunua ndege lukuki
Kaanzisha hifadhi ya wanyama burigi
Kajenga uwanja wa kimaitafa chato
Kawagawia marais wastaafu tausi
Kahamishia makao ya serikali dodoma
Amedhoofisha vyombo vya habari
Amerudsha heshima makazin
Amemlinda makonda hadi dakika za mwsho

Ccn oyeeeeeee
 
Naumizwaga sana na hii kitu mkuu!

Yaani wazee, walevi, vibaka, choka mbaya woooote ndo wavaa jezi za ccm tangu kampeni mpaka miaka yote mi5 ya kutawaliwa, wao wapogo tu ndani ya mboga mboga doh!!
Elimu elimu elimu..... Kimsingi ccm hawataki watz wapate elimu bora ili kuendelea kuwagawia t-shirt za ccm kila baada ya miaka 5
 
Nao hawa tabia ya kuhama hama mnamchagua mtu baadaye anahama chama jamani si dharau kabisa kwa wapiga kura japo mie sina chama kambi popote.
Sasa ni chuma halisi ambacho ni mpango wa Mungu.......

Kunaenda kupasua jiwe kwa mikono 💪💪
 
75 Reactions
Reply
Back
Top Bottom