KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,756
- 2,998
Ufala wa kimuiweka mabanoni akili,mimi sina.KAZI unayo kichwa kibovu kwelikweli
Ufala wa kimuiweka mabanoni akili,mimi sina.KAZI unayo kichwa kibovu kwelikweli
Hakika matako hua yanasingiziwa tu maana yenyewe hua yanatumika Kama spika tu,mchawi tumbo.Hujui haya mambo ya kesi za mahakamani , nyamaza , natambua mchango mzito wa Maranja Masese , lakini kwa hili umenionea sana
Na huo ndiyo umbea wenyeweTaarifa haijakamilika unaeleza kama wote tulikuwa mahakamani.
Amani ya nchi inachezewa na wanaotunga kesi za michongo za ugaidi.Amani ya Nchi ni muhimu zaidi kuliko mtu yeyote yule.
Kamwe usijaribu kuchezea Amani ya nchi, utaumia.
Huku ni kukosa nidhanu kabisa, sasa unawasha simu mahakamani na kuanza kurekodi mwenendo wa kesi. Chadema tuwe wastaarabu.
Simu yasimamisha kesi ya kina Mbowe
Simu ya mkononi iliyoita wakati kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu ikiendelea imesababisha Jaji...www.mwananchi.co.tz
Kama safari hii hajajifunza kitu basi tena!!! hiyo ni sawa na usemi wa kiswahili usemao kuwa;Amani ya nchi inachezewa na wanaotunga kesi za michongo za ugaidi.
Kama kudai Katiba mpya ni uhalifu basi sawa!Kama safari hii hajajifunza kitu basi tena!!! hiyo ni sawa na usemi wa kiswahili usemao kuwa;
"Sikio la kufa halisikii dawa"
kazi kwake na genge lake kuamua; kubadilika au kuendelea na vitendo vya kihalifu.
Mungu aliyewaumba Mbowe na wenzake hawezi kuwaacha kwamwe.Mungu wa Mbingu na Nchi awabariki wapigania HAKI wote.Maana imenenwa kuwa HAKI huinua Taifa...
Ni kweki kudai katiba Ni kuchekea uhai na amani ya ccm. Ni kudai haki kwa wananchi woteKama safari hii hajajifunza kitu basi tena!!! hiyo ni sawa na usemi wa kiswahili usemao kuwa;
"Sikio la kufa halisikii dawa"
kazi kwake na genge lake kuamua; kubadilika au kuendelea na vitendo vya kihalifu.
Untill they provr beyound doubts that the transactions made were for the purpose of terrorism activitiesmashahidi wa serikali naona bado wanajichanganya
Kosa la Mboe sio kudai katiba, kama ingekuwa kosa ndio hilo la kudai katiba basi hata kinaNi kweki kudai katiba Ni kuchekea uhai na amani ya ccm. Ni kudai haki kwa wananchi wote
Trumped up cases zimebackfire.Kosa la Mboe sio kudai katiba, kama ingekuwa kosa ndio hilo la kudai katiba basi hata kina Dr. Lwaitama na viongozi wengine wangeshitakiwa pamoja na mboe,
lakini kosa la mboe ni kuratibu na kuandaa vitendo vya kigaidi, vitendo vya kuvuruga Amani na utulivu wa nchi.
mipango hiyo inadaiwa aliandaa na kuwa tumia kina;
Bwire
Adamoo
Lingwenya. n.k
ndio maana mboe kaunganishwa na hao wahalifu wenzake.
Usidanganywe na genge la mboe ambao nia yao ni kupotosha ukweli ktk kesi hii ya mboe.
Kujifunza mnatakiwa mjifunze nyie wezi mnaolimasikinisha Taifa na kuwaita wananchi "wanyonge".Kama safari hii hajajifunza kitu basi tena!!! hiyo ni sawa na usemi wa kiswahili usemao kuwa;
"Sikio la kufa halisikii dawa"
kazi kwake na genge lake kuamua; kubadilika au kuendelea na vitendo vya kihalifu.
🤣🤣🤣Kujifunza mnatakiwa mjifunze nyie wezi mnaolimasikinisha Taifa na kuwaita wananchi "wanyonge".
kazi kweli kweliKubumba ni mzigo jamani