Ww hujawah kuwa timamu
Huku ni kukosa nidhanu kabisa, sasa unawasha simu mahakamani na kuanza kurekodi mwenendo wa kesi. Chadema tuwe wastaarabu.
 
Amani ya nchi inachezewa na wanaotunga kesi za michongo za ugaidi.
Kama safari hii hajajifunza kitu basi tena!!! hiyo ni sawa na usemi wa kiswahili usemao kuwa;
"Sikio la kufa halisikii dawa"
kazi kwake na genge lake kuamua; kubadilika au kuendelea na vitendo vya kihalifu.
 
Kama kudai Katiba mpya ni uhalifu basi sawa!
Mpaka sasa hakuna ushahidi wa kuishawishi mahakama kuwa Mbowe ni mhalifu!
It's a shame,shahidi wa 9 na bado watu wanasubiri Huo ushahidi aliouzungumzia Sirro!
 
Kama safari hii hajajifunza kitu basi tena!!! hiyo ni sawa na usemi wa kiswahili usemao kuwa;
"Sikio la kufa halisikii dawa"
kazi kwake na genge lake kuamua; kubadilika au kuendelea na vitendo vya kihalifu.
Ni kweki kudai katiba Ni kuchekea uhai na amani ya ccm. Ni kudai haki kwa wananchi wote
 
Ni kweki kudai katiba Ni kuchekea uhai na amani ya ccm. Ni kudai haki kwa wananchi wote
Kosa la Mboe sio kudai katiba, kama ingekuwa kosa ndio hilo la kudai katiba basi hata kina
Dr. Lwaitama na viongozi wengine wangeshitakiwa pamoja na mboe,

lakini kosa la mboe ni kuratibu na kuandaa vitendo vya kigaidi, vitendo vya kuvuruga Amani na utulivu wa nchi,

mboe alikuwa na uchu wa kutaka madaraka kwa njia za kihalifu

mipango hiyo inadaiwa aliandaa na kuwa tumia kina;
Bwire
Adamoo
Lingwenya. n.k
ndio maana mboe kaunganishwa na hao wahalifu wenzake.

Usidanganywe na genge la mboe ambao nia yao ni kupotosha ukweli ktk kesi hii ya mboe.
Mboe ni mhalifu kama walivyo wahalifu wengine huko gerezani.
 
Kosa la Mboe sio kudai katiba, kama ingekuwa kosa ndio hilo la kudai katiba basi hata kina Dr. Lwaitama na viongozi wengine wangeshitakiwa pamoja na mboe,

lakini kosa la mboe ni kuratibu na kuandaa vitendo vya kigaidi, vitendo vya kuvuruga Amani na utulivu wa nchi.

mipango hiyo inadaiwa aliandaa na kuwa tumia kina;
Bwire
Adamoo
Lingwenya. n.k
ndio maana mboe kaunganishwa na hao wahalifu wenzake.

Usidanganywe na genge la mboe ambao nia yao ni kupotosha ukweli ktk kesi hii ya mboe.
Trumped up cases zimebackfire.
 
Kama safari hii hajajifunza kitu basi tena!!! hiyo ni sawa na usemi wa kiswahili usemao kuwa;
"Sikio la kufa halisikii dawa"
kazi kwake na genge lake kuamua; kubadilika au kuendelea na vitendo vya kihalifu.
Kujifunza mnatakiwa mjifunze nyie wezi mnaolimasikinisha Taifa na kuwaita wananchi "wanyonge".
 
Back
Top Bottom