Ni ajabu sana. Eti dhamira, nia ... unapimaje dhamira ikiwa hata maneno yake yenye kubeba dhamira huna. Huna list ya operaters, huna vikao vinavyopanga operations. Stories zitasaidiaje.Kwani wewe hufuati mkumbo? Wamekamatwa na vitu/vifaa gani vya kutenda ugaidi au mnakurupuka tu maigizo yenu? Bastola ya kumshikisha mtu ndio zana ya ugaidi? Kwani mama yako hana bastola?
"inchoate crime" kinacho hitajika ni dhamira tu sio lazima kitendo/vitendo vitendeke.Ugaidi ni vitendo sio dhamira ni sawa na wizi au uchawi vyote ni vitendo. Japo mwanzo wake ni dhamira kitendo ni lazima ili mtu aitwe mwizi, jambazi, gaidi nk.
Kwa hiyo dhamira haitoshi kumhukumu mtu billa kitendo
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Ndio maana wanaumbuka kila hatua. Na huyu jaji wao anayewachomolea madesa naye hajielewi. Nadhani ulifuatilia maelezo ya Mtobesya baada ya ukaguzi wa desa la shahidi.Ni ajabu sana. Eti dhamira, nia ... unapimaje dhamira ikiwa hata maneno yake yenye kubeba dhamira huna. Huna list ya operaters, huna vikao vinavyopanga operations. Stories zitasaidiaje...
Na wewe bush lawyer tu huna lolote unalolijua kuhusu sheria. Dhamira unaithibitishaje beyond reasonable doubt? Mnazo audio au footage yoyote wakipanga mipango yote hiyo?"inchoate crime" kinacho hitajika ni dhamira tu sio lazima kitendo/vitendo vitendeke. ndio maana kuna kosa ktk sheria; Ukimtishia mtu kumua tu hata kama hujatekeleza kutendo ni kosa na unaweza kuathibiwa kwa mujjibu wa sheria.
kwa upande wa mboe yeye alikuwa muwezeshaji wa vitendo vya kigaidi....hata kama vilikuwa bado havijatendeka lkn kosa lipo
Tatizo lako unahisi kila mtu kafiwa na mume kama livyofiwa wewe!Wewe mjane bwana wako huko kuzimu ni mwendo wa kupelekeshwa kukusanya kuni.
Kwamba hata gaidi atamchomoa kwa kufariki?Alishachomoa Jiwe kwanza hilo tunashukuru. Na wenginr ataondoka naotu. Hachelewi wala hawahi.
Mimi ni mtu wa mashamabani sio vichakani/bush.Na wewe bush lawyer tu huna lolote unalolijua kuhusu sheria. Dhamira unaithibitishaje beyond reasonable doubt? Mnazo audio au footage yoyote wakipanga mipango yote hiyo?...
Tofautisha kumdhuru na kuuwa..... mboe alikuwa na mpango wa kumuua aliyekuwa DC wa Hai.
Kina nani mkuu?tekeleza mauaji kwa watu wangapi ambao huenda mamlaka hazikubaini?
Waasi mkuu,waasi walio fukuzwa jeshini (kina Lingwenya na wenzake) .
Kutisha tayari ni kitendo dhamira iko akilini mwa mtu. Haipimiki bila kitendo. Kupanga ni kitendo pia sababu utaona maneno au utasikia sauti"inchoate crime" kinacho hitajika ni dhamira tu sio lazima kitendo/vitendo vitendeke.
ndio maana kuna kosa ktk sheria; Ukimtishia mtu kumua tu hata kama hujatekeleza kutendo ni kosa na unaweza kuathibiwa kwa mujjibu wa sheria.
kwa upande wa mboe yeye alikuwa muwezeshaji wa vitendo vya kigaidi....hata kama vilikuwa bado havijatendeka lkn kosa lipo
Naamini kila iwavyo na iwe, lakini la uhakika ni kwamba tunapiga hatua kwenda mbele.Msigwa ameshadraft barua... Tanzania tabu tupu
Mungu akubarikiNaamini kila iwavyo na iwe, lakini la uhakika ni kwamba tunapiga hatua kwenda mbele.
Hata hawa kuna siku yao wataondoka tu, tena kwa aibu kubwa.
Wazee wandio mzee hao..........waumini kuwa kwa Amri ya Magufuli mmefunga siku tatu a Corona imeisha. Matokeo yake watu wamepoteza maisha kwa ujinga....
Pro Jay sindoyule alie muona jamaa wa PGO akiwa anapiga chabo kwenye kihondaπ΅....... Professor jay wa mitulinga kaona bora apige mziki tu.
π€π€π€..... Mbowe anaweza kushitakiwa na chama chake hasa ukizingatia ni mjukuu wa TAAA kupitia......
Hivi unadhani umu wote ni matahira eehUnaharaka ya nini, wewe kula mtori nyama utakutana nazo chini.
Hata hivyo maelezo aliyo kiri Lig'wenya na yakapokelewa uliyasikiliza wakati yanasomwa?
mzee mboe kakaangwa na kina Lingwenya na Bwire.
au kwa lugha ya mitaani tunasema wamemchoma mzee mzima mboe.