mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,379
- 3,826
Ni ajabu sana. Eti dhamira, nia ... unapimaje dhamira ikiwa hata maneno yake yenye kubeba dhamira huna. Huna list ya operaters, huna vikao vinavyopanga operations. Stories zitasaidiaje.Kwani wewe hufuati mkumbo? Wamekamatwa na vitu/vifaa gani vya kutenda ugaidi au mnakurupuka tu maigizo yenu? Bastola ya kumshikisha mtu ndio zana ya ugaidi? Kwani mama yako hana bastola?
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app